Baadhi ya media siku hizi hazina vitu vya maana. Viongozi mko wapi?

Baadhi ya media siku hizi hazina vitu vya maana. Viongozi mko wapi?

Media house zote asubuhi Simba na Yanga, mchana kuchambana, singeli na udaku jioni watangazaji machawa na habari za udaku tu.
Bongo nzima hakuna kipindi cha uchunguzi wala waandishi wa uchunguzi inasikitisha
Dah huwa naumia sana na kuisikitikia nchi yangu. Media zote kubwa kwa ndogo zinasikitisha mno. Wanaenda na trend za matukio ya kwenye mitandao ya kijamii. Lakini pia kamari ndiyo matangazo yao mama, Simba na yanga ndiyo mtaji wao pendwa kwenye kila kipindi. Watangazaji ni watu maarufu wengi wao hata taaluma ya habari hawana, wkt mwingine wanabore kuwasikiliza. Aisee kuzichambua media za Tz unaweza ukafa kwa huzuni
 
Redio na channel za bongo zimejaa ujinga tupu
Nilisha achana na upuuzi huo
Contents zao ni ngono na simba na yanga upumbavu mtupu
Utafikir kila mtu anapenda huo ushenz wao
Wenye familiar ni mwendo wa dini basi
 
Back
Top Bottom