Baadhi ya media siku hizi hazina vitu vya maana. Viongozi mko wapi?

Baadhi ya media siku hizi hazina vitu vya maana. Viongozi mko wapi?

Ni uhuru umezidi au? Yaani watoto wanajifunza nini Jamani? Ukijaribu kuwaza kuwa wanamaanisha nini hata huwezi kuelewa.

Mambo ya ajabu ajabu yamezidi hakika.

Yaani kipindi kinaendeshwa siku nzima hakuna la kujifunza.

Viongozi mko wapi?

Ifike mahali Viongozi washushe Rungu Lao.
mimi kidogo family weanza kunielewa,ni katoon,tamthilia zao na nyimbo za gosple tu,wenyewe wanajua kuwa nikikuta wameweka mbali na hizo,king'amuzi kinatolewa kimyakimya..
 
Russia Today (RT) ni channel ya propaganda sana kwenye habari zinazohusu Urusi na nchi za West. Huweka mafuta mengi kwenye habari zinahusu urusi huku ikiweka matope sana habari zinazohusu West.
Ni vile napenda kusikiliza vyanzo mbalimbali mfano channel za magharibi nazo huonekana pro magharibi tu ,so ukipata za Russia,Belarus, China, Iran na n.k utaona tofauti,cha msingi ni kubalance ishu tu

USSR
 
Nimeblock local channels zote nyumbani kwangu nimeacha za michezo ,katuni za masomo (sio katuni za kijinga) chaneli za dini ya kikristo,aljazeera, BBC,fox, Russia today, France 24 na CNN,zilizo bali nimezilamba ban la maisha

USSR
mbaya zaidi unachokikimbia huko kwenye Tv mtoto anaenda kukutananacho mtaan
 
Back
Top Bottom