Baadhi ya media siku hizi hazina vitu vya maana. Viongozi mko wapi?

Baadhi ya media siku hizi hazina vitu vya maana. Viongozi mko wapi?

Sema ni fursa hiyo kwa atakayeweza kufungua media za 'mambo ya maana'

Wengi wanapenda kubisha kwamba labda hizo media zitakosa wafuatiliaji ila ni suala la packaging tu

Angalia jinsi the storybook ya wasafitv inavofanya watu wapende habari za kuboa kama za kihistoria kwa kutumia storytelling nzuri
Bado ipo au ishakufa
 
Ni uhuru umezidi au? Yaani watoto wanajifunza nini Jamani? Ukijaribu kuwaza kuwa wanamaanisha nini hata huwezi kuelewa.

Mambo ya ajabu ajabu yamezidi hakika.

Yaani kipindi kinaendeshwa siku nzima hakuna la kujifunza.

Viongozi mko wapi?

Ifike mahali Viongozi washushe Rungu Lao.
Waweke mbali watoto wako na vyombo hivyo vya habari.
 
Ni uhuru umezidi au? Yaani watoto wanajifunza nini Jamani? Ukijaribu kuwaza kuwa wanamaanisha nini hata huwezi kuelewa.

Mambo ya ajabu ajabu yamezidi hakika.

Yaani kipindi kinaendeshwa siku nzima hakuna la kujifunza.

Viongozi mko wapi?

Ifike mahali Viongozi washushe Rungu Lao.
Kushuka kwa maadili hakuishtui serikali ilmradi wamiliki wa media wanalipa leseni na kodi nchi inapata uchumi.

Nilidhani ni mm tu ndiye ninayekerwa na huu upuuzi unaotangazwa kwenye media kumbe tupo wengi. Nchi hii ina mambo ya kiquma sana.
 
Nimeblock local channels zote nyumbani kwangu nimeacha za michezo ,katuni za masomo (sio katuni za kijinga) chaneli za dini ya kikristo,aljazeera, BBC,fox, Russia today, France 24 na CNN,zilizo bali nimezilamba ban la maisha

USSR
Russia Today (RT) ni channel ya propaganda sana kwenye habari zinazohusu Urusi na nchi za West. Huweka mafuta mengi kwenye habari zinahusu urusi huku ikiweka matope sana habari zinazohusu West.
 
Back
Top Bottom