Baadhi ya media siku hizi hazina vitu vya maana. Viongozi mko wapi?

Bado ipo au ishakufa
 
Waweke mbali watoto wako na vyombo hivyo vya habari.
 
Kushuka kwa maadili hakuishtui serikali ilmradi wamiliki wa media wanalipa leseni na kodi nchi inapata uchumi.

Nilidhani ni mm tu ndiye ninayekerwa na huu upuuzi unaotangazwa kwenye media kumbe tupo wengi. Nchi hii ina mambo ya kiquma sana.
 
Nimeblock local channels zote nyumbani kwangu nimeacha za michezo ,katuni za masomo (sio katuni za kijinga) chaneli za dini ya kikristo,aljazeera, BBC,fox, Russia today, France 24 na CNN,zilizo bali nimezilamba ban la maisha

USSR
Russia Today (RT) ni channel ya propaganda sana kwenye habari zinazohusu Urusi na nchi za West. Huweka mafuta mengi kwenye habari zinahusu urusi huku ikiweka matope sana habari zinazohusu West.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…