Baadhi ya media siku hizi hazina vitu vya maana. Viongozi mko wapi?

Mwisho upo aisee hasa Vijana wa Kiume tumekuwa na mifadhaiko ya Kingono sana kuna mdau humu alitoa namba ya whatsapp vijana wakawa wanamtumia tupu zao tu.πŸ˜€πŸ˜‘
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
mimi kidogo family weanza kunielewa,ni katoon,tamthilia zao na nyimbo za gosple tu,wenyewe wanajua kuwa nikikuta wameweka mbali na hizo,king'amuzi kinatolewa kimyakimya..
 
Russia Today (RT) ni channel ya propaganda sana kwenye habari zinazohusu Urusi na nchi za West. Huweka mafuta mengi kwenye habari zinahusu urusi huku ikiweka matope sana habari zinazohusu West.
Ni vile napenda kusikiliza vyanzo mbalimbali mfano channel za magharibi nazo huonekana pro magharibi tu ,so ukipata za Russia,Belarus, China, Iran na n.k utaona tofauti,cha msingi ni kubalance ishu tu

USSR
 
Nimeblock local channels zote nyumbani kwangu nimeacha za michezo ,katuni za masomo (sio katuni za kijinga) chaneli za dini ya kikristo,aljazeera, BBC,fox, Russia today, France 24 na CNN,zilizo bali nimezilamba ban la maisha

USSR
mbaya zaidi unachokikimbia huko kwenye Tv mtoto anaenda kukutananacho mtaan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…