Baadhi ya member wa JF wangekuwa magari unadhani wangekuwa gari gani?

Demiss ni Peugeot 4X4 Pronounced as "Foro Foro" kwa lafudhi ya kichaga...
 
Lakini yale magoli ya bale unazungumziaje?
Lile goli la kwanza la Bale liko fantastic... Lakini kapigiwa cross na Marcelo ambaye wakati Salah yumo Alikuwa hapandi... Unaona athari ya kumtoa Salah kwa 'dark tactics'?
 
Lile goli la kwanza la Bale liko fantastic... Lakini kapigiwa cross na Marcelo ambaye wakati Salah yumo Alikuwa hapandi... Unaona athari ya kumtoa Salah kwa 'dark tactics'?
Mzee baba ndio mpira ulivyo ,ndio maana kuna wakati wachezaji wanavunjika, kujeruhiana au hata kufa kbs. Huwezi kukwepa purukushani uwapo uwanjani vinginevyo cheza mdako tu

Madrid woyoooooooooooooooooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…