Baadhi ya member wa JF wangekuwa magari unadhani wangekuwa gari gani?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Unajua kila nikijicheck kengele zangu hizi mbili zinazidi kuning'inia uhenga huu mmmh
Kengele nimewaza mbali au mawazo yangu mabaya?
 
Hahahaaa hahahaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uuwiii... Chamdeko umeliamsha tena dude
At Asprin nini vile? Kiranga je...
Huyu chamdeko wako kuna kitu ananitafuta. Uchawi najua sitamuweza ila Albadir hatachomoka... shauri zake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…