Baadhi ya member wa JF wangekuwa magari unadhani wangekuwa gari gani?

Shangingi tukiwa kule home lakini kwa hapa mjini ni Jeep Grand Cherokee black metalic
Naona umejipa mwenyewe Jeep [emoji23][emoji23][emoji23]duh wangapi wangekununua?
 
Wachache, nadhani nigepewa kwako kama zawadi ili nikubebe kila unapohitaji
 
Aaah, umenipandisha chati.

Mimi Lada, gari la Kirusi, haliamini kuwapo kwa Mungu.

Unalikumbuka Lada?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee kweli umejipatia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…