Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Dogo mbona umesahau kunitag?Setfree Meneja Wa Makampuni Hawa wanahitaji msaada wa dharura.
Dogo mbona umesahau kunitag?Setfree Meneja Wa Makampuni Hawa wanahitaji msaada wa dharura.
Dogo mamako.Dogo mbona umesahau kunitag?
utamu utamu.Dogo mamako.
Inakuwa vipi au naingiajemu ignore na case itakuwa closed.
ingia kwenye account yake,utakuta kuna options "follow" "ignore" ukimfollow utakuwa unaona post zake, ukimuignore hautaona kabisa post zake, unaweza fanya hata kwa account yangu kama hutojali.Inakuwa vipi au naingiaje
Hahaha dogoDogo mamako.
😂😂😂Umepotelea wapi😂wife kakutoa simu nini
Kiazi huyo bwasheeUyo ndie yule jamaa anaejisifiaga yeye ni mzuri?
Watu kama Lovely Emmy , Ponjoro wa Kinondoni Covax Malaria 2 haszu , Manfried , The Mongolian Savage DIVISHENI FOO na wengine wengi, unaona kabisa ni aina ya watu msongo unawasumbua
TUWASAIDIE
Huyo haszu hata nisihusishwe nae bwashee