Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,946
- 13,928
Na Lucas je?Watu kama Lovely Emmy , Covax haszu , Manfried , The Mongolian Savage DIVISHENI FOO na wengine wengi, unaona kabisa ni aina ya watu msongo unawasumbua
TUWASAIDIE
Na Lucas je?Watu kama Lovely Emmy , Covax haszu , Manfried , The Mongolian Savage DIVISHENI FOO na wengine wengi, unaona kabisa ni aina ya watu msongo unawasumbua
TUWASAIDIE
😂Na Lucas je?
Aisse nimecheka kama mazuriTaratibu taratibu Kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake 😂
Hivi dr bado yuko huku jukwaani? au ameshatafuta kichaka ila Hannah nmekuchukia bure.Katika hao wote Manfried ndio funga kazi.
Yan nimewaza sana humu ndani hata haifai kujibizana negativity na ID.
Maana anakutukana na Manfried, anakuja na Haya Land kukuchekea na wewe unacheka, ye anakuona chizi… vitu vya ajabu sana 🤣🤣🤣
Nawaza tu namna ya kuendesha ID mbili ilivyo kazi.Jasiri haachi asili, ukute amesharejea na ID ingine. Anawazoom tu kwa mbali 😀
Uyo ndie yule jamaa anaejisifiaga yeye ni mzuri?Huyo haszu hata nisihusishwe nae bwashee
Ongeza na hawa, maana wanahitajika mirembe.Watu kama Lovely Emmy , Covax Malaria 2 haszu , Manfried , The Mongolian Savage DIVISHENI FOO na wengine wengi, unaona kabisa ni aina ya watu msongo unawasumbua
TUWASAIDIE
Mimi nakusaidia wewe, hakuna neno kuwa shambulia, ila lipo neno kuwashambulia.Watu kama Lovely Emmy , Covax Malaria 2 haszu , Manfried , The Mongolian Savage DIVISHENI FOO na wengine wengi, unaona kabisa ni aina ya watu msongo unawasumbua
TUWASAIDIE
The Mongolian Savage hii ni mental case kama ilivyo Maghayo Busu la Kenge ni bange case.Watu kama Lovely Emmy , Covax Malaria 2 haszu , Manfried , The Mongolian Savage DIVISHENI FOO na wengine wengi, unaona kabisa ni aina ya watu msongo unawasumbua
TUWASAIDIE
Haleluya! Umenitag? Hii ni ishara nzuri kuwa Injili ya Yesu niliyokuletea, imepenya moyoni mwako, ndio sababu unanikumbuka. Mungu akusaidie usishupaze shingo. Jesus is coming soon.Setfree Meneja Wa Makampuni Hawa wanahitaji msaada wa dharura.
Nyie vichaa lazima muwe chini ya uangalizi wetu ili msije mkaleta madhara kwa watu wengine,Haleluya! Umenitag? Hii ni ishara nzuri kuwa Injili ya Yesu niliyokuletea, imepenya moyoni mwako, ndio sababu unanikumbuka. Mungu akusaidie usishupaze shingo. Jesus is coming soon.
Ahhahaj nasikia ni chapati la kumimina hillooUyo ndie yule jamaa anaejisifiaga yeye ni mzuri?
😂😂😂Huyo Lovely Emmy ni mzima 🤣🤣🤣🤣hataki msaada