Baadhi ya members tusipende kuwa shambulia wanahitaji msaada wetu

Baadhi ya members tusipende kuwa shambulia wanahitaji msaada wetu

Katika hao wote Manfried ndio funga kazi.
Yan nimewaza sana humu ndani hata haifai kujibizana negativity na ID.
Maana anakutukana na Manfried, anakuja na Haya Land kukuchekea na wewe unacheka, ye anakuona chizi… vitu vya ajabu sana 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom