Baadhi ya members tusipende kuwa shambulia wanahitaji msaada wetu

Baadhi ya members tusipende kuwa shambulia wanahitaji msaada wetu

Umeanzisha vita 😂😂😂😂 yaani utanitambua 😀😀😀😀 siunajua nilivyo crazy utakimbia jamiiforums 😂😂😂

Halafu mimi sina aibu wala siogopi chochote wala siumizwi na chochote, 😀😀😀😀😀😀 ntakushukia haswaaaaa kazi iendeleee 😀😀😀😀😀😀😀
 
Unavyo andika direct na kuni cc, unategemea nn??

Sitaki mm natafuta humu kazi usiniharibie reputation plz!!!
Ole wako unitag tena shemeji yaani ntakutukana mpaka ujute....

Unavyooniitaga mbamizwa unafikiri mimi sitaki ajira eeeh??? Hahahaa 😂😂😂

Ngoja unitag tena kwenye maujinga yako walahi ntakuvunja pingiri za ugoko
 
Umeanzisha vita 😂😂😂😂 yaani utanitambua 😀😀😀😀 siunajua nilivyo crazy utakimbia jamiiforums 😂😂😂

Halafu mimi sina aibu wala siogopi chochote wala siumizwi na chochote, 😀😀😀😀😀😀 ntakushukia haswaaaaa kazi iendeleee 😀😀😀😀😀😀😀
127c2c1c9ea60e6cc25f5e715d5d3a82.jpg

Sema kingine chapati....maana nimebobea katika bullshit coz am a bull shitter
 
Back
Top Bottom