Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona kama vile umeumia sana na unateseka?Kwa msaada wa gugo ya Beberu. alafu ukimaliza kuapload hizo picha unasema"marekani hataki watu wajue vile Iran imeendelea" wakati hizo picha umezitoa kwenye saver za gugo ambayo ni mali yake.
Marekani ni mbeba lawama wa dunia[emoji16]
Hakuna Mambo ya kuvalishana Hijabu kwa lazima uko?Mkuu mbona kama vile umeumia sana na unateseka?
Mbona hakuna picha ya maandamano kupinga uuaji na kulazimishana kuvaa vipande vya nguo vichwani?Hicho ni kinogesho cha picha ninajaribu kukuonesha wajukuu wa Ayatullah walivyo visu.
Kwahyo kwa fikra zako hakuna search engines zingine zaidi ya hiyo gugo ya beberuKwa msaada wa gugo ya Beberu. alafu ukimaliza kuapload hizo picha unasema"marekani hataki watu wajue vile Iran imeendelea" wakati hizo picha umezitoa kwenye saver za gugo ambayo ni mali yake.
Marekani ni mbeba lawama wa dunia[emoji16]
Anamaanisha pia internet ni product ya beberu ama unajifanya hujui? Sema ueleweshwe. Endelea kuinjoi na kubishana mtandaoni kwa hisani ya internet ya beberu.Kwahyo kwa fikra zako hakuna search engines zingine zaidi ya hiyo gugo ya beberu
Internet ni technology ya jeshi la marekani! Inaonekana wewe ni wa dini ile, ile ya Allah!Kwahyo kwa fikra zako hakuna search engines zingine zaidi ya hiyo gugo ya beberu