Nimeona video inatrend ya ugomvi mkubwa wa nyumba ya urithi Kariakoo mtaa wa Manyema.
Nyumba hiyo ya ghorofa 5 ilijengwa na mzee anaeitwa Mohammed Alidina ambae alifariki miaka kazaa iliyopita.
Mzee huyo wakati akiwa hai alitoa sehemu ya nyumba hiyo. Floor ya juu itumike kama madrassa na kufanya taratibu za kukabidhi kwa msikiti ambazo waislamu wanaziita waqfu. Ghorofa zilizobaki aliendelea kuzitumia kuishi na zingine kupangisha appartments na fremu kwa wafanyabiashara Kariakoo.
Baada ya huyo mzee kufariki aliacha watoto 11, ambao watoto wao waligawana hizo appartments na fremu na kuendelea na maisha.
Mbeleni watoto wachache wa kiume wa marehemu mzee huyo wakapendekeza wazo la kutaka nyumba hiyo iuzwe kila mtu akajenge kwake. watoto wengine wakapinga kwamba hawataki nyumba iuzwe maana baba yao enzi za uhai alisema nyumba isiuzwe na akatoa sehemu ya nyumba iwe madrassa inayomilikiwa na waislamu wote. sasa watauzaje nyumba yenye wakfu ambayo ni mali ya waislamu wote.
Watoto wenye wazo la kuuza wakaona hapa kuuza ngumu. wakaamua kwenda kumshirikisha imamu wa msikiti ambao ulipewa wakfu sehemu ya nyumba hiyo. maana msikiti ulikuwa na documents za wakfu walizopewa na marehemu baba yao.
Kimya kimya wakashirikiana na imamu wa msikiti uliopewa hizo documents. wakatafuta mteja Mkinga mmoja wakamuuzia nyumba bila watoto wengine kujua.
Mbeleni mkinga huyo ambae ni mnunuzi aliyonunua hiyo nyumba akaenda kuchukua mali yake. Ndipo watoto wengine wakagundua nyumba imeuzwa. Ndipo ugomvi mkubwa ukaibuka na mapanga juu.
Nipo Kariakoo, anaesimamia hiyo nyumba ni dd yao. Ishu ni kua anawapiga ndugu zake. Mfano frem ni 1,000,000 anawaambia wenzake kodi ni 600,000. Hiyo ndo shida
Huyo Mkinga imekula kwake. Mali za urithi ili ziuzike kisheria lazima lazima BENEFICIARIES CONSENT iandaliwe ili kila mnufaika atie sahihi yake. Hiyo inaandaliwa na wakili. Je waliuziana kimila au mbele ya wakili?
Nipo Kariakoo, anaesimamia hiyo nyumba ni dd yao. Ishu ni kua anawapiga ndugu zake. Mfano frem ni 1,000,000 anawaambia wen zake kodi ni 600,000. Hiyo ndo shida
Huyo Mkinga imekula kwake. Mali za uridhi ili ziuzike kisheria lazima lazima BENEFICIARIES CONSENT iandaliwe ili kila mnufaika atie sahihi yake.Hiyo inaandaliwa na wakili. Je waliuziana kimila au mbele ya wakili?
Hawezi kuuza bila ridhaa ya wanufaika wenzake. Ingekuwa mali ya kuoza/perishable goods hapo kuna emergency anawezauza. Lakini nyumba haitaji emergency. Lazima beneficiaries consent zijazwe.
Mama may have, papa may have
But God bless the child that's got his own
Them that's got shall get
Them that's not shall lose
So the bible said and it still is news
Mama may have, papa may have (mama may have, papa may have)
But God bless the child that's got his own, that's got his own (ooh-ooh)
Yes, the strong get smart
While the weak ones fade
Empty pockets don't ever make the grade (ooh)
Mama may have, papa may have (ooh, ooh)
But God bless the child that's got his own, that's got his own (ooh, ooh)
Money, you've got lots of friends
They're crowding around the door
When you're gone and spending ends
They don't come no more
Rich relations give crusts of bread and such
You can help yourself, but don't take too much
Mama may have, papa may have (mama may have, papa may have)
But God bless the child that's got his own, that's got his own
God bless the child, the child that's got his own