Baadhi ya ndugu wauza nyumba ya familia Kariakoo iliyokuwa na waqfu. Mapanga yatembea nje nje

Baadhi ya ndugu wauza nyumba ya familia Kariakoo iliyokuwa na waqfu. Mapanga yatembea nje nje

Hapa ndio tatizo linapoanzia?
Huwez kuniambia ndugu wote watano wakubal mmja alete shida nazan kun shida kwa huyu mdada maan kwa umr kwanza maish yamempiga vilevil anatakiwa awe kwake lakin yup kwao inaaman mpk hapo ni tatz lingine pia inaonekan kuna namun alikuwa anapat cha zaid wakaone wasitoane roho wauze kila mtu afie mbali kwasababu yeye anajua mafekeche kakataa anajua kuna faida zaid ko wasiangalie kasoro za ndugu zake waanze watfte kiini kwanza.....
 
Halafu mbona wameachiwa mali tu, frem unapokea kodi na bado nyumba nzuri hiyo kila mmoja ana sehemu yake tamaa za nini?

Huyo Sheikh ndio kaniacha hoi, unashiriki kuuza nyumba ya ibada?
Pesa tuu, pesa mbele mamaaa
 
Halafu mbona wameachiwa mali tu, frem unapokea kodi na bado nyumba nzuri hiyo kila mmoja ana sehemu yake tamaa za nini?

Huyo Sheikh ndio kaniacha hoi, unashiriki kuuza nyumba ya ibada?
siyo nyumba ya ibada, ni floor moja ndiyo iliwachwa wakfu kwa chuo. Sasa huyo imamu ni tamaa tu.

Hapo hakuna makubaliano ni kwamba nyumba iuzwe kihalali, wote wakubaliane itolewe sehemu ya fedha ijengwe madrasa kwa jina la mwenye nyumba ili aendelee kupata thawabu zake. Kwa hali ilivyo hapo panaweza hata kuleta murder case.... dada mtu ajihadhari sana hao ndugu 10 wa kiume ni wengi mno.
 
Back
Top Bottom