FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ila kama baba yao alishatoa wosia rasmi kwamba wasiuze, basi waendelee tu kugawana kodi ya Jengo sawa kwa sawa hadi pale watakapokubaliana wote pauzwe..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inapaswa afahamu, kama mali inamilikiwa na warithi kwa pamoja ambapo wanachukua tu kodi kwa kugawana, ni lazima kipindi cha kuuza warithi wote wakubali kuuza, haweza akaamua mmoja kuuza kwa niaba ya wenzake bila makubaliano, huo utakuwa mgogoro mzito sana..Mkinga hajui hilo
Inapaswa afahamu, kama mali inamilikiwa na warithi kwa pamoja ambapo wanachukua tu kodi kwa kugawana, ni lazima kipindi cha kuuza warithi wote wakubali kuuza, haweza akaamua mmoja kuuza kwa niaba ya wenzake bila makubaliano, huo utakuwa mgogoro mzito sanaMkinga hajui hilo
Kwa hiyo ni sawa ilivyouzwa bila hata yeye kuhusishwa?Nipo Kariakoo, anaesimamia hiyo nyumba ni dd yao. Ishu ni kua anawapiga ndugu zake. Mfano frem ni 1,000,000 anawaambia wenzake kodi ni 600,000. Hiyo ndo shida
Mkinga ameyakanyaga. Kama alienda bila utaratibu wa kisheria ana kesi kadhaa hapo za jinai zikiwemo za, Uvamizi, Kuvunja, Kuiba, Kuharibu mali, Shambulizi la maungoni na kadhalika....Nimeona video inatrend ya ugomvi mkubwa wa nyumba ya urithi Kariakoo mtaa wa Manyema.
Nyumba hiyo ya ghorofa 5 ilijengwa na mzee anaeitwa Mohammed Alidina ambae alifariki miaka kazaa iliyopita.
Mzee huyo wakati akiwa hai alitoa sehemu ya nyumba hiyo. Floor ya juu itumike kama madrassa na kufanya taratibu za kukabidhi kwa msikiti ambazo waislamu wanaziita waqfu. Ghorofa zilizobaki aliendelea kuzitumia kuishi na zingine kupangisha appartments na fremu kwa wafanyabiashara Kariakoo.
Baada ya huyo mzee kufariki aliacha watoto 11, ambao watoto wao waligawana hizo appartments na fremu na kuendelea na maisha.
Mbeleni watoto wachache wa kiume wa marehemu mzee huyo wakapendekeza wazo la kutaka nyumba hiyo iuzwe kila mtu akajenge kwake. watoto wengine wakapinga kwamba hawataki nyumba iuzwe maana baba yao enzi za uhai alisema nyumba isiuzwe na akatoa sehemu ya nyumba iwe madrassa inayomilikiwa na waislamu wote. sasa watauzaje nyumba yenye wakfu ambayo ni mali ya waislamu wote.
Watoto wenye wazo la kuuza wakaona hapa kuuza ngumu. wakaamua kwenda kumshirikisha imamu wa msikiti ambao ulipewa wakfu sehemu ya nyumba hiyo. maana msikiti ulikuwa na documents za wakfu walizopewa na marehemu baba yao.
Kimya kimya wakashirikiana na imamu wa msikiti uliopewa hizo documents. wakatafuta mteja Mkinga mmoja wakamuuzia nyumba bila watoto wengine kujua.
Mbeleni mkinga huyo ambae ni mnunuzi aliyonunua hiyo nyumba akaenda kuchukua mali yake. Ndipo watoto wengine wakagundua nyumba imeuzwa. Ndipo ugomvi mkubwa ukaibuka na mapanga juu.
View attachment 2928225
WAISIHARAMU SIKU HIZI NDIYO WAMEJIVISHA NGOZI YA UISLAMUNimeona video inatrend ya ugomvi mkubwa wa nyumba ya urithi Kariakoo mtaa wa Manyema.

Wenye elimu ambao sio Wakinga hawana uwezo hata wa kukodi fremu kkooWakinga wengi elimu hawana
Sio mbaya kama.anawapiga...mana kasema baba aliacha jengo likiwa na ghorofa mbili na sasa kajenga ziko ghorofa sita hapo kuna shida gani?Nipo Kariakoo, anaesimamia hiyo nyumba ni dd yao. Ishu ni kua anawapiga ndugu zake. Mfano frem ni 1,000,000 anawaambia wenzake kodi ni 600,000. Hiyo ndo shida
Hacha kupotosha watu,Mke na mume wakienda kukopa hela kupitia Nyumba ya Familia lazima wakopeshaji waje kuulizia kama kweli familia imekubaliana na maamuzia ya Mkopoaji,lazima baba na mama wapige picha nje ya Nyumba na kama anawatoto pia watapiga picha kukubaliana na ilo swala tena mbele ya nyumba na sahihi kuwekwa na vidole Gumba juu.Kwani mzazi alisema isiuzwe? Kwa nini wasitumie mahakama kupata ufafanuzi wa kisheria? Hii tabia ya baadhi ya wanandugu kuuza Mali halafu wanageukiana ili kumtapeli aliyenunua lazima wanasheria waliangalie vizuri.
Mke na mume wanakubaliana kukopa hela kwa dhamana ya nyumba yao, hela zikiisha mume anamtuma mke mahakamani kudai eti nyumba imeuzwa bila ridhaa ya familia, lengo kuwaibia wakopeshaji, hata wanandugu wa kariakoo ndio mchezo wao
Ukitaka kuelewa zaidi tunachokisema humu JAMII FORUMS, jaribu kuangalia asili ya huyo MNUNUZI! Utakuta ni MLOWEZI WA KIKINGA, lakini siyo MWENYEJI WA ASILI.Mabaunsa si wanaendaga kama nyumbu 😄
Ova
Nipo Kariakoo, anaesimamia hiyo nyumba ni dd yao. Ishu ni kua anawapiga ndugu zake. Mfano frem ni 1,000,000 anawaambia wenzake kodi ni 600,000. Hiyo ndo shida
Investment mambo mengine yaende.....unakuta maneno maneno mengi tu bora kila mtu afe kivyakeMkuu ungekuwa wewe na uko mid 20 kazaa ya mwanzoni hapo.
Ungeuza na ujenge nyingine, au unge invest Kisha uendelee kusoma mchezo
Yaani watu wanapiganua mabillionImagine baunsa umekodishwa unalipwa elfu 30 kwa siku. Unaenda kwenye kazi unakutana na mapanga watu wanalinda mali yao.
Baunsa Unapigwa mapanga kwenye mali isiyo kuhusu
Wavivu hawa wazoea vya ubwererewaislam ndo kawaida yao kugombania majumb
waislam nfo kawaida yao kugombania majumba ya urithi.
Ila kwa vile ni mkinga hahahaaaaaa watarudisha hela hizo maana hawa watu kwenye pesa yao 👐Mkinga kauziwa mbuzi kweny gunia.
Mkinga anamiliki nyumba bila hati
Nani awakamate,polisi ndiyo hao waliahidi usalama na baadaye kuonekana pamoja Mkinga.Nyumba ya mirathi ina taratibu zake kuuza.Huwezi kuuza kitu cha watu wengi,kijanja janja.Huyo Sheikh,na huyo mnunuzi wakamatwe,ni wezi hao na ni matapeli,na kama yupo wakili,kahusika na huu utapeli,pia akamatwe.
Ilimradi kuna mkinga amehusika hapo 🤣🤣🤣 lolote linaweza kutokeaHapo watarogana hao vibaya sana na ghorofa linalogwa vilevile.
Tusishangae limeanguka
Kuna nyumba wasema ni " haunted" yaani Ina mauzauza ambayo hakuna mtu anaweza kukaa, ukihamia kinachokukuta ni Siri yako, ila kesho yake lazima uhame kimyakimya!!Hapo watarogana hao vibaya sana na ghorofa linalogwa vilevile.
Tusishangae limeanguka
Mtoto wa mjini huyo.Ila we Mrangi una vitu vingi sana unavijua, Kanji alikuwa mtu poa sana, mimi ni mmoja wa wafanyakazi wake