princeNathan
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 312
- 632
Huwez kuniambia ndugu wote watano wakubal mmja alete shida nazan kun shida kwa huyu mdada maan kwa umr kwanza maish yamempiga vilevil anatakiwa awe kwake lakin yup kwao inaaman mpk hapo ni tatz lingine pia inaonekan kuna namun alikuwa anapat cha zaid wakaone wasitoane roho wauze kila mtu afie mbali kwasababu yeye anajua mafekeche kakataa anajua kuna faida zaid ko wasiangalie kasoro za ndugu zake waanze watfte kiini kwanza.....Hapa ndio tatizo linapoanzia?
Kampa Cha mbavu kwenye kujihami, inaruhisiwa[emoji3]Hivi hamjasikia hapo Kuna aliyesema kampa mwenzie kisu Cha mbavu kama haki yake? Ushahidi kuntu sana mahakamani aisee
Sikuona kama alikua anajihami aisee. Kajisifia kabisa.Kampa Cha mbavu kwenye kujihami, inaruhisiwa[emoji3]
Pesa tuu, pesa mbele mamaaaHalafu mbona wameachiwa mali tu, frem unapokea kodi na bado nyumba nzuri hiyo kila mmoja ana sehemu yake tamaa za nini?
Huyo Sheikh ndio kaniacha hoi, unashiriki kuuza nyumba ya ibada?
Huyu mtangazaji ni wa muda mrefu sana.
siyo nyumba ya ibada, ni floor moja ndiyo iliwachwa wakfu kwa chuo. Sasa huyo imamu ni tamaa tu.Halafu mbona wameachiwa mali tu, frem unapokea kodi na bado nyumba nzuri hiyo kila mmoja ana sehemu yake tamaa za nini?
Huyo Sheikh ndio kaniacha hoi, unashiriki kuuza nyumba ya ibada?