Chasha thanks so much, nilikuwa sijaisoma hii.
Kuna mtu anauliza mitaji, mie naona wengi wetu hapa ni wafanyakazi, mitaji itapatikana kwa kuwa na good saving habits, ukigoogle wenzetu wanambinu nyingi nilizojifunza chache
1. kupunguza matumizi kwa kubeba lunch box yako badala ya kununua kila siku (3500 - 10000)
2. Kupunguza matumizi ya simu yasiyo lazima
3. Kupunguza manunuzi ya mavazi na au outing zilizo costly au frequency, badala ya hoteli ghali weekend waweza kwenda beach, fellowships, meet family, friends etc
4. Kupunguza namba ya helping hands au wasaidizi mfano kila weekend salon waweza suka au tengeneza mwenyewe, kulima maua au bustani ndogo, tuition ukafanya mwenyewe au siblings, car washing yaani mshahara wetu huu tunaulipa kwa watu kibao kwa kazi ambazo mkiamua kama family weekend mnaifanya bila shida
5. Kupunguza matumizi ya petrol kwa kutumia usafiri wa basi inapowezekana mfano kuna basi za 1000 kuliko petrol 15000-30000 daily
Ukiangalia mianya mingi yakubana matumizi kwa mwezi unajikuta umepata mtaji wa kuanzia kitu kidogo tatizo watu hawataki shida...
Chasha Poultry Farm. ..anacho sema Mama Joe ni kweli kabisa, Kuna Rafiki yangu Juzi alikuwa ananipatia full story za Maisha ya Wachina, kwa kweli Tanania tunayo kazi sana Bila kubadilika maendeleo tutayasikia kwenye redio, Wachina wana nidhamu ya Hali ya Juu kabisa katika maswala ya fedha na kwa wachina Familia nzima ni lazima ifanye kazi si kwamba Baba na Mama waende kutafuta Huku nyuma watoto wanabakia kula tu ma kutazama TV kutwa nzima, China Kijana akimalzia Chuo ni lazima achacharike hata kwa kuuza pipi, na si kwamba auze pipi then pesa ale no ni pesa ya familia,
- Chiana biashara ya kupigana offa hawaijui
- China Biashara ya kutafuta sifa kwenye Mavazi na magari hawaijui, kuna public transport na zinatosha kabisa sasa garila nini
-
Watanzania kwenye swala la Saving tunaweza kuwa tunaongoza Duniani na si dhani kama kuna nchi nyingine ambayo wanachi wake wana poor Money managment kama sisi.
- Unaweza amka asubuhi kwenda kazini bila kuwa na plan ya kununua chocjote lakini utarudi na viatu kisa tu umekutana na Machinga akiuza viatu,
- Offa zakutafuta sifa
- Sifa za kumilika Gari, unakuta kuna staff Buss lakini mtu anaona bora aende na gari lake mwenyewe kuliko kupanda staff bus
So katika ile wealth Equation bado tunakazi sana
Kweli mtaji sio tatizo,kama idea ipo excellent basi mtaji utapatikana with no doubt.Kuna sekta mbalimbali zinazosaidia watu kuboresha innovative ideas.kwa mfanoTBi(Dar Teknohama Business incubators-for technological ideas).From then idea yako ikishakamilika unaweza kui present kwa investors,sometimes hata kama haijakamilika kunakuwaga na workshops ambazo zinakaribisha investors wavutiwe na concept yako.(Hizi ni baadhi ya huduma zinazotolewa:-
* Business Planning Capacity Building and Support
* Establishment of the company
* Support towards concept pilot testing
* Mentoring and Coaching
* Development of revenue model and financial projections
* Linkage to potential markets
* Exposure to expert talks, training and marketing events
* Evaluation for transition into the next stage
* In some cases, access to seed capital (finance/grants).
* The startup incubatees can be resident or non- resident (virtual).
* Access to high speed internet.
* Networking events.
* Exhibitions, workshops and hackerthons.
Watu wana pesa kibao sema wanasubiria yule mtu mwenye excellent idea ili pesa yao isipotee bure.Mi ningeshauri watu wajijenge sana,someni vitu mbalimbali,tembeleeni sehemu tofauti mbadilishe mandhari,pia ni vizuri kuwa open to new business ideas.Pia watu wengi wanaofanikiwa kwenye maisha ni watu wanaothubutu kufanya vitu ambavyo sio watu wengi wangefikiria kufanya.Mimi ni mfanyabiashara na nimezungukwa na wafanyabiashara wakubwa ambao kati yao kuna wanaotengeneza atleast 40million profit on monthly basis.I'm learning from them na kama unapenda nikuunganishe nao ili ujifunze kutengeneza pesa kwa akili kupitia mifano hai,just check on me.Nisingependa kufaidi mwenyewe wakati wengine wanateseka.Kumbuka:-
"Ukitaka kufanikiwa, kaa na watu waliofanikiwa."[/QUOTE]
Mkuu naomba tucheckiane watsap namba 0785-074040 pliz, umenigusa