Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

@Chasha thanks so much,

Watu wana pesa kibao sema wanasubiria yule mtu mwenye excellent idea ili pesa yao isipotee bure.Mi ningeshauri watu wajijenge sana,someni vitu mbalimbali,tembeleeni sehemu tofauti mbadilishe mandhari,pia ni vizuri kuwa open to new business ideas. Pia watu wengi wanaofanikiwa kwenye maisha ni watu wanaothubutu kufanya vitu ambavyo sio watu wengi wangefikiria kufanya. Mimi ni mfanyabiashara na nimezungukwa na wafanyabiashara wakubwa ambao kati yao kuna wanaotengeneza atleast 40million profit on monthly basis.I'm learning from them na kama unapenda nikuunganishe nao ili ujifunze kutengeneza pesa kwa akili kupitia mifano hai, just check on me.Nisingependa kufaidi mwenyewe wakati wengine wanateseka.Kumbuka:-

"Ukitaka kufanikiwa, kaa na watu waliofanikiwa."
 
Dah mkuu that is true kwamba Watanzania utamaduni wa Saving hatuna na si wachina hata Wakenya wanatuzidi mbali sana katika swala zima la Saving, jamaa hawana sijui kampani ya kusaidiana kula, hilo ni tatizo kubwa sana na ishu ni kwamba Watanzania wengi tunapenda sifa kupita kiasi, hili ndo tatizo kubwa mno, asante sana mkuu riltz
 
Last edited by a moderator:

Inavyoonyesha unatumia wewe mwenyewe ID zaidi ya moja! hapa umejisifia mwenyewe bila kujua ulijisahau ukadhani umelog out. kumbe holla! tuko deep kufukunyua!
 
Inavyoonyesha unatumia wewe mwenyewe id zaidi ya moja! hapa umejisifia mwenyewe bila kujua ulijisahau ukadhani umelog out. kumbe holla! tuko deep kufukunyua!
Hayo ni makosa wakati na m quote huyo jamaa, soma alie leta hiyo coment na acha kukariri mamabo, nijisifie kwa lipi? siko hapa kutafuta sifa sawa?
 
Kama unataka Mali utaipata shambani..sasa ni wakati wetu vijana kutoka mijini kurudi vijjini kuanza kushika jembe Lowe kwa mikono au machine...utajiri upo was kutosha tujiongeze vijana tuache kulalamika Na kuilaumu serikali
 
Kweli mtaji sio tatizo,kama idea ipo excellent basi mtaji utapatikana with no doubt.Kuna sekta mbalimbali zinazosaidia watu kuboresha innovative ideas.kwa mfanoTBi(Dar Teknohama Business incubators-for technological ideas).From then idea yako ikishakamilika unaweza kui present kwa investors,sometimes hata kama haijakamilika kunakuwaga na workshops ambazo zinakaribisha investors wavutiwe na concept yako.(Hizi ni baadhi ya huduma zinazotolewa:-
* Business Planning Capacity Building and Support
* Establishment of the company
* Support towards concept pilot testing
* Mentoring and Coaching
* Development of revenue model and financial projections
* Linkage to potential markets
* Exposure to expert talks, training and marketing events
* Evaluation for transition into the next stage
* In some cases, access to seed capital (finance/grants).
* The startup incubatees can be resident or non- resident (virtual).
* Access to high speed internet.
* Networking events.
* Exhibitions, workshops and hackerthons.

Watu wana pesa kibao sema wanasubiria yule mtu mwenye excellent idea ili pesa yao isipotee bure.Mi ningeshauri watu wajijenge sana,someni vitu mbalimbali,tembeleeni sehemu tofauti mbadilishe mandhari,pia ni vizuri kuwa open to new business ideas.Pia watu wengi wanaofanikiwa kwenye maisha ni watu wanaothubutu kufanya vitu ambavyo sio watu wengi wangefikiria kufanya.Mimi ni mfanyabiashara na nimezungukwa na wafanyabiashara wakubwa ambao kati yao kuna wanaotengeneza atleast 40million profit on monthly basis.I'm learning from them na kama unapenda nikuunganishe nao ili ujifunze kutengeneza pesa kwa akili kupitia mifano hai,just check on me.Nisingependa kufaidi mwenyewe wakati wengine wanateseka.Kumbuka:-
"Ukitaka kufanikiwa, kaa na watu waliofanikiwa."[/QUOTE]
Mkuu naomba tucheckiane watsap namba 0785-074040 pliz, umenigusa
 
Tatizo la msingi ambalo wengi wamelizungumzia ni mtaji wa biashara. Ni sawa kabisa kama unataka kufanya biashara za karne ya ishirini ambazo bado zinaendelea kuwa mazoea ya watu kwenye karne hii ya 21.

Karne ya 21 imekuja na nyenzo tofauti za biashara kutokana na maendeleo ya teknologia na utandawazi hivyo fursa za kisasa zimeibuka ambazo hazihitaji mtaji kabisa au zinazohitaji mtaji mdogo tu wa kuanza biashara ambayo ina fursa ya kukuingizia kipato kikubwa zaidi kutoka kwa wateja waliotapakaa duniani kote au wa eneo fulani.

Nitazungumzia fursa ya kuanza biashara ya kidunia bila mtaji wakati muafaka ambapo kampuni inayotoa fursa hiyo ipo kwenye matengenezo ya tovuti zake zitakazokuwezesha kujiunga bure na kupata kipato kwa kuwaalika watu bure popote pale walipo duniani kwa kuzungumza na ndugu na jamaa zako au kwa kutumia mitandao ya kijamii kwa ku share kiungo chako ambacho mtu akikibonyeza na kusoma maelezo ya jinsi biashara ilivyo na kuamua kujiunga basi atakuwa source yako ya kupata kipato milele kutokana na matumizi yake atakayoyafanya ndani ya tovuti za kampuni.

Kwa leo nitazungumzia fursa ya nyumbani inayoendana na karne hii ya 21 ambayo inahitaji mtaji mdogo tu kuianza lakini ina uwezekano wa kukupatia kipato kikubwa kila mwezi.

Kwa habari zaidi kuhusu fursa hii soma thread hii hapa

Kwa nini utumie simu yako ya mkononi bila kulipwa wakati kuna Rifaro?
 
Mawazo ya biashara kiukweli ni mengi kwenye mazingira tunayoishi, ila vikwazo ni vingi sana hasa mitaji ndo kikwazo kikubwa. Sijui wanajamvi mnaongeaje kuhusu hilo??
 
Siku yeyote mshauri mzuri ni yule amabaye anakushauri ufanye biashara ambayo yeye anaifanya na ana udhoefu na anachokishauri,naomba mleta uzi utupe udhoefu wa namna ulivyofaidika na biashara hii unayoisema isije ikawa ni nadharia umeiona mtandaoni na unataka watu wengine waingie ili upatie ujuzi kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…