Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

Point
 
Kwa mtu mwenye experience,biashara ndogo ndogo kaama kuuza maandazi,bagia na perremende .je izi biashara huleta faida kwa kiasi gan au muda gani??!
 
Asante kwa ufafanuzi huu, ingawa changa moto kwa biashara si haba. Nilianza biashara yangu ya cleaning. Na imekuwa si rahisi
 
Kwa mtu mwenye experience,biashara ndogo ndogo kaama kuuza maandazi,bagia na perremende .je izi biashara huleta faida kwa kiasi gan au muda gani??!
Biashara ni tabia, biashara ni juhudi na maarifa, faida ni matarajio ya baadae, ukitaka kufanya biashara ambayo unatamani kuona matokeo mazuri tu Kwa muda fulani mchache hutaweza biashara
 
Kuwa na wazo la biashara ni hatua moja kubwa nangumu sana lakini hatua nyengine yenye inayowashinda wengi especially wasomi na waliozowea kuajiriwa ni niile ya start up yaani kuanzisha . Hiki huwa nikipindi kigumu sana kwenye biashara kwa maana biashara inapoanza huwa na hasara au faida ndogo au kuokosa faida mwanzoni. Sasa kwa mtu asie na malengo ya mbali hutaka akianza leo basi hapo happy aanze kula matunda ya kazi yake ndio maana wasomi wengi tunaishia kugombania ajira maana Kuna mshahara wa uhakika.
Chang ine ni kujua njia ya kupata mitaji ya kuanzisha biashara yako. Kuna muda unaweza kuwa na wazo zuri tu la biashara lakini ukajikuta unashindwa kwasababu ya kukukosa kujua utapata wapi mtaji. Elimu hii ni wachache wenye nayo . Tumezowea labda uwe kwenye familia zenye kipato zikusupport biashara yako lkn kwa wale wanaotokea familia za chini huona waishie kuajiriwa tu.
 
VUNJA BEI: KUANDAA HESABU ZA KODI za makampuni; USAJILI WA MAKAMPUNI dakika za mwisho hizi..!!
0788104228
 
Hii namba tano nataka kui- apply naanzia wapi kwa mfano?
 
Biashara ni tabia, na inaanzia kichwani mwako, biashara ni mapenzi, hivyo haiangalii unaanza na kiasi gani, mtu anayeiwaza biashara kwa kuitazama Kwa ukubwa anapaswa kuelewa kwamba huo ukubwa ulisababishwa na udogo ulioanza kwa mfanya biashara husika
 
 
WANAJUKWAA LA JAMII FORUM NAOMBA NAOMBA MWENYE MUONGOZO WA ANDIKO LA MRADI (PROPOSAL) ILIYOANDIKWA KISWAHILI ANIZAIDIE.No 0767125913
Asante
 
aisee...huwa nawaza Kuna jirani yangu anafanya kibarua katika kiwanda Fulani,analipwa 7000 anaingia saa 12 asubuhi anatoka saa kumi jioni Sasa tuanze kuichambua 7000

-nauli kwenda na kurudi 1000(huyu anapanda Basi Moja ,ananiambia wapo wanaopanda mabasi mawili kufika kazini)

-asubuhi Kuna kunywa chai , ananiambia hapa hutumia 1500 na mchana huwa hali

katika 7000 anatumia 2500 kwa matumizi BINAFSI ya lazima anapoenda kibaruani hivyo hubaki na 4500 ambayo hurudi nayo nyumbani na kukabidhi 3000 ili "mama mtu" apike Cha mchana na jioni ,anabakiwa na 1500 hii Ana watt wawili ambao wanasoma shule asubuhi lazima wanywe chai na hata vijihela Kidogo vya kwenda kuwaondoa unyonge shuleni mbele ya wanafunzi wenzao

[emoji16] hapo nikukumbushe kuwa anaishi nyumba ya kupanga

Kuna bill ya umeme ,Kuna pesa za kununulia ama kuchotea maji

jamaa Ana plans nzuri za biashara, lakini Hana capital na HAKUNA wa kumpa zaidi ya nguvu zake na kwa sababu ya kipato chake anaishi na "hoi hahe" wenzake ambao wanatiana moyo na kuombeana kwa Mungu Kila kukicha

Kuna chizi aliandika nyuma ya t-shirt yake iliyochanika
RIZIKI NAPATA ILA BAHATI SINA!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…