Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

Orthopedic mattres (godoro tiba)
[emoji3591]Ni godoro maalumu inayotibu , mgongo, kiuno, shingo nk

[emoji673]5/6/8=540,000
[emoji673]5/6/8=580,000
[emoji673]6/6/6=580,000
[emoji673]6/6/8=640,000

[emoji736]Tunafanya delivered mikoa yote
[emoji736]Tunauza jumla na rejareja

Call [emoji338] 0717811059
[emoji673]Location ubungo kibo

#orthopedicmattress
#magodorododomathebesttz
#qflmagodorododoma
#godorotiba
 
HABARI WANAJAMVI;

Binafsi nimeona jamvi liko sawa sana.

ila kwa neema nami naomba kukushirikisha jambo langu hapa; hasa kwa wale ambao wameshapata elimu na sasa wana kusudia kusonga mbele. ni kama sio mahala pake lakini ni sehemu sahihih sana kwa wadau wote hapa. Bwana awatunze and see you at the top
 

Attachments

  • IMG-20220818-WA0007.jpg
    75.5 KB · Views: 124
Asante
Kwa ushauri murua
 
Wakuu naomba ushauri kuhusu
Biashara ya madini aina ya dhahabu wenye uzoefu mnipe maujanja
 
Wakuu naomba ushauri kuhusu
Biashara ya madini aina ya dhahabu wenye uzoefu mnipe maujanjaView attachment 2424307
Chukua sululu upeleke kwa wanye vinoo watainoa iwe na ncha kali kisha nunua koleo kisha tochi ya kufunga kichwani kisha kamba angalau ya mita 30 bila kusahau sufuria ndoo2 mwiko unga dagaa chumvi na panadol na purasita kisha elekea popote wanakochimba wachimbaji wadogo wadogo ukapambane kama bahati yako ipo mala taosha inakutana na kl 1 ya dhahabu usisahau kinishukulu
 
Dah mi hapa nina hyo changamoto Niko natafta wazo la biashara ya kufanya
 
Valuable information
 
Unaweza kuwa na idea na pesa lakini ukaja kushindwa implementation hapo una ushauri upi #chasha
 
Thread nzuri sana. Mi nilipata humu wazo la biashara ya kutengeneza bisi, maeneo ya mtaani kwetu. Niliagiza mashine kutoka Dar es salaam sababu mi Niko mkoani. Na mtu anayeuza mashine nilimpata humu humu Jamii Forum.
 
samahan boss .. nulikua nahitaji kufahamu zaidi kuhusu biashara ya kuuza compyuta pamoja na simu katika duka moja. ila nahitaji kupewa ata mwanga kuhusu iyo biashara katika vipengele vifuatavyo
1. kiasi cha mtaji kinachofaa kuanzia biashara hiyo
2. mkoa au eneo linalofaa kwa hiyo biasahara
3. Eneo la kupata mzigo.
na vitu vingine naomba unielekeze tu nduguydngu kama utakua naufaham kuhusu ilo ndugu
 
samahan boss .. nulikua nahitaji kufahamu zaidi kuhusu biashara ya kuuza compyuta pamoja na simu katika duka moja. ila nahitaji kupewa ata mwanga kuhusu iyo biashara katika vipengele vifuatavyo
1. kiasi cha mtaji kinachofaa kuanzia biashara hiyo
2. mkoa au eneo linalofaa kwa hiyo biasahara
3. Eneo la kupata mzigo.
na vitu vingine naomba unielekeze tu nduguydngu kama utakua naufaham kuhusu ilo ndugu
 
Tatizo ni moja watu wanashindwa kuelewa kabisa...kila siku najaribu kuwaeleza watu.
Jamani hii ni tanzania approaches tunazozitumia kufanya au kukuza biashara ni tofauti kkabisana mazingira tulio nayo...napenda kuwaambia hivi .
Mimi binafsi niko kwenye field ya biashara nilianza na mtaji mdogo sana lakini alhamdulillah nimefka sehemu fulani...natakawa ni waambie ivi..
Ukitaka kufanikiwa kibiashara na ukawa mfanya biashara mkubwa...ni hivi lazima utafute biashara yoyote ile ye mzunguko...na tambua watanzania wanpenda vitu vizur vya bei ya chini..hilo ni rahisi sana kufanya endapo unamtaji mkubwa kiasi...sasa changamoto ni namna gani mimi na wewe tunapata huo mtaji mkubwa??simaanishi lazima iwe kiasi fulani..bali inategemea unataka kufanya biashara gani?kuna biashara mtaji mkubwa ni 500k nyengne ni 100m..so wakuu tifanye yote...ila kuthubutu na kujifunza ni hatua muhimu kuliko chochote...hizo franchise,blaa blaa sio approach za tanzania kabisa...tuishi kwenye uhalisia.
 
Connection ya hii namba 5 mtu anaipataje?
 
nilikutana na mswazland mmoja mkandarasi hapa tz katika story nikamuuliza uliridhi mali au tafu kutoka kwa wazee..akaniambia mtaji ni wateja wenyewe wakati yupo uingereza masomoni akisomea uinjinia matajiri wa swazland walikuwa wakimtumia kununua mitambo na kuwatumia...ndipo alipopatia mtaji alipomaliza chuo akaazisha kampuni kwa kukodi mitambo kutoka kwa wale madoni....akaniambia ukipata wateja tayari umepata mtaji...
 
K
Kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…