Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

[emoji91]
 
Point za kweli shukurani sana
 
Exactly,hujakosea kitu muhimu ni kuanza na ulichonacho halafuu taratibu mbeleni kila kitu kinakuja kinakuwa sawa kabisaa. Muhimu kabisa ni kuthubutu
 
MPYA HII,hapa mfanyabiashara na mtumiaji wa viazi mviringo,,,,,,,,,,(kiepe)
Msimu umewadia.tenaaaaaa,
KARIBU,mkoa wa
NJOMBE,kusini mwa Tanzania, ujipatie viazi mviringo aina zote,unazotaka wew kwa bei nafuu,kabs,....
Wewe dalali na mfanyabiashara mnakaribishwa,....
bei maelewano,
Mawasiliano 0620743697.
View attachment 2773000
 
Hapo kwne kutumia uhandsome au urembo umenikumbusha kitu😀
Asimia 90 ya boda nazooanda huwa namuangalia mtu kutokana na sura yake😀😀😀
Na asilimia 50 ya maduka nayoenda ni kutokana na sura ya muhudumu😀
hivi vitu vipo
 
Umesomeka mkuu, Mawazo ya biashara yapo mengi kama ulivyojaribu kuonesha, shida yetu kuu ni mitaji ya uhakika.

Historia haiishiwi wino.
Tatizo si mtaji tatizo tunachagua cha kufanya hakuna short way na tunataka kupita moja kwa moja
 
Daah aisee me nahtaj kufanya biashara ya mtaj wa shlng 1million ila cjajua nfanye biashara gan wakuu??[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Ngoja niendelee kufuatilia nitarudi na majibu hapa
 
Daah aisee me nahtaj kufanya biashara ya mtaj wa shlng 1million ila cjajua nfanye biashara gan wakuu??[emoji848][emoji848][emoji848]
Waasu,habari ya Ukerewe au Majita...uza chips mishikaki,utazalisha
 
Ni kweli mitaji ni changamoto kubwa sana kwa tulio wengi,
Lakini hiyo siyo sababu yenye mashiko kwa mtu Anaetaka kuwa mjasiriamali(mfanya biashara)

Shida kubwa tulizo nayo Watanzania wengi ni uvivu wa kutumia hobi zetu, tunachokipenda ni kuangalia Fulani anafanya biashara fulani na inamuingizia kipato basi nae anaenda kufungua biashara ileile tena eneo hiloholo analofanyia alie muona anafanya hiyo biashara

Ni afadhari uige biashara lakini ukafungue eneo lingine,

Jamani tubadilike watoto wa mama SAMIA, tusiige tu biashara bila kuzifanyia uchinguzi,

Ukiona mwenzio anauza Nguo za kike wewe Uza viatu, hapo tutaweza kutokomeza umaskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…