Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

Je Kuna wengine wanafany biashara kama hiyo? Pia hapo unafunzo wewe ulifunga biashara kwa muda wa miezi 3, swali je wateja wakusubiri wewe upate mtaji Tena umewatoroka jibu hapo ni wasingelikusubiri walipata chimbo jingine Tena labda kwa bei nafuu zaidi kufunga biashara ni njia moja wapo ya kuwa mbali na wateja
 
Asante sana Mkuu
 
Safi sana💯 hii imepiga kwenye mshono wa kuelewa tumeelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…