Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana brother. Ni kuamua tu maana kwasasa dunia ipo katika teknolojia.Umeongea kitu muhimu lakini si unajua ubunifu kwetu ni changamoto.
Mimi ningekuwa mtaalamu wa IT ninge "design " mobile app ya real estate itakayowezesha wenye nyumba na wapangaji kukutana with sufficient details bila madalali
Sent using Jamii Forums mobile app
Get more research brother what other side doing!
More than recruitment agencies brother. Maana kuna sehemu wanatafuta nguvu kazi na hakuna watu, maeneo mengine wanatakiwa wataalamu lakini napo hakuna watu.Unamaanisha kuwa "Recruitment agent" kama wanavyofanya Radar, Em-Power, Erolink na wengine, au??
Sent using Jamii Forums mobile app