21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,280
- 2,814
Wewe ndo hauko serious, yule naibu waziri akiwafungia wasanii mbona anaweka press?
Teh teh teh,KwangwaruuuuuuSasa wakenya wanataka kucheza pool table wakiwa wamesimama!
Vipi kuhusu nyimbo za nje au kwa vile watu wengi hawajui kiingereza?hawa vijana wanatukana sana nowdays itabidi media za Tanzania zianzishe kampeni ya "tokomeza matusi kwenye nyimbo" ndo watashtuka ujinga wanaoufanya.
Nakumbuka kipindi tunakula tupo familia pamoja na mshua. Ikapigwa nyimbo ya Koffi Olomide. Kum@ inauma. Watu tukajifanya hatujaisikia mpaka ikaisha. Hii nyimbo ilipigwa sana enzi zileVile hatuzielewi za wakongo ndo poa coz matusi hatuyasikii
Ila Diamond ana matusi. Utasikia ipitishe kwa chini, aiwekee iwekee aiwekee ile ndindindi.
Copy and paste.
Watoto Wachanga ni wale wanaonyonya, sasa wanaimba nini hao?kenya watoto wachanga kabisa wanaimba inama inama...balaaa tupu hili....
Mbona ni hoja mbili tofauti?Msikilize msemaji hapo anasema haya si maneno yangu
''Tunashirikiana na police na tumeshasema we will make it very difficult for people like Diamond and OTHER FOREIGN ARTIST WHO HAVE BEEN BANNED IN THEIR COUNTRY WON'T BE ALLOWED TO PERFORM HERE
Those guys dont pay taxes while money have been directed to theri home countries, that is corruption, for those who invites them here will be regarded as corrupt, we won't allow that''
Hatutaruhusu foreign musicians whose their music have been banned to perfom, unakuta watoto wanaimba kwamba AINAMA INAMA NA WANAWAIMBIA MAMA ZAO NA MAMA WANASHANGILIA KWAMBA UNATAKA KUCHEZA POOL TABLE WAKATI UMEINAMA, na akina mama wanashangilia hatutaruhusu hapa Kenya,
MAONI YANGU
Ni kweli ni muhimu kurudi kwenye maadili, nimeuliza hivi kama mamlaka hazitachukua hatua mapema nawaza miaka 20 ijayo kutakuwa na hali ya hatari sana,
TUJIANDAE KISAIKOLOJIA HIZI NYIMBO NA MAADILI VIENDANE