Baadhi ya nyimbo za WASAFI zapigwa marufuku, Diamond ashutumiwa kutolipa kodi anapofanya kazi Kenya

Baadhi ya nyimbo za WASAFI zapigwa marufuku, Diamond ashutumiwa kutolipa kodi anapofanya kazi Kenya

hawa vijana wanatukana sana nowdays itabidi media za Tanzania zianzishe kampeni ya "tokomeza matusi kwenye nyimbo" ndo watashtuka ujinga wanaoufanya.
Vipi kuhusu nyimbo za nje au kwa vile watu wengi hawajui kiingereza?
Ushaona nyimbo ya Dj Khalid ft Chris Brown, Nick Minaj ya Do you mind?
 
Vile hatuzielewi za wakongo ndo poa coz matusi hatuyasikii
Nakumbuka kipindi tunakula tupo familia pamoja na mshua. Ikapigwa nyimbo ya Koffi Olomide. Kum@ inauma. Watu tukajifanya hatujaisikia mpaka ikaisha. Hii nyimbo ilipigwa sana enzi zile
 
Siasa imehusika pia si ajabu ukasikia kampun iliyo wapeleka wasanii wa bongo kufanya shows za mwisho wa mwaka kupelekwa mahakamani kwa kukwepa kulipa kodi.Ikumbukwe kuwa kampuni hiyo inamilikiwa na mwanasiasa hassan joh sultan.
 
kenya watoto wachanga kabisa wanaimba inama inama...balaaa tupu hili....
 
Msikilize msemaji hapo anasema haya si maneno yangu

''Tunashirikiana na police na tumeshasema we will make it very difficult for people like Diamond and OTHER FOREIGN ARTIST WHO HAVE BEEN BANNED IN THEIR COUNTRY WON'T BE ALLOWED TO PERFORM HERE
Those guys dont pay taxes while money have been directed to theri home countries, that is corruption, for those who invites them here will be regarded as corrupt, we won't allow that''

Hatutaruhusu foreign musicians whose their music have been banned to perfom, unakuta watoto wanaimba kwamba AINAMA INAMA NA WANAWAIMBIA MAMA ZAO NA MAMA WANASHANGILIA KWAMBA UNATAKA KUCHEZA POOL TABLE WAKATI UMEINAMA, na akina mama wanashangilia hatutaruhusu hapa Kenya,


MAONI YANGU

Ni kweli ni muhimu kurudi kwenye maadili, nimeuliza hivi kama mamlaka hazitachukua hatua mapema nawaza miaka 20 ijayo kutakuwa na hali ya hatari sana,

TUJIANDAE KISAIKOLOJIA HIZI NYIMBO NA MAADILI VIENDANE

Mbona ni hoja mbili tofauti?
Kwahiyo issue ni kodi au maadili?
Mbona kama chuki ya kibaguzi tu?
 
Back
Top Bottom