Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Hawa watu kwa mtindo huu Al shabab watawapiga sana kila siku.
Waimbe basi hizo nyimbo zao lamba lolo, dundaig, dawa ya moto.
Waimbe basi hizo nyimbo zao lamba lolo, dundaig, dawa ya moto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado kuimbiwa nyegeziNilikua naona kama majamaa wanaonewa mpaka nilipomkuta mtoto wangu wa miaka miwili na nusu anaimba tetema roho ya ubasata ikaniingia now i hate those niggers with all my heart
kufungiwa nyimbo kuna uhusiano gani na kupigwa na al shabab?Hawa watu kwa mtindo huu Al shabab watawapiga sana kila siku.
Waimbe basi hizo nyimbo zao lamba lolo, dundaig, dawa ya moto.
Habari yako feki ,Kwanza Kenya hawana upuuzi kama wenu,hebu kasikilize wimbo wa Nibebe -Nyota ndogo ft Nonini ,ulisikilize tusi aliotukana Nonini na nyimbo bado ikawa inapigwa kama kawa na show watu wanapiga.'BASATA' ya Kenya, imemfungia msanii Diamond Platnumz, kufanya shughuli za muziki nchini humo. Pia imeufungia wimbo wa Kwangaru alioimba na Harmonize kwa madai ya kukosa maadili. Hatua hiyo imekuja kwa kuchelewa kwani tayari Kwangaru imeshaweka rekodi ya kuwa the most viewed music video in East Africa, Kenya inclusively. Yajayo yanasikitisha.
***
Kenya Film Classification Board (KFCB) boss Ezekiel Mutua has banned Harmonize and Diamond’s hit song Kwangwaru.
Speaking in Mombasa, Mutua made it clear that he will not allow Diamond and other foreigners whose music have been banned in their countries to perform in Kenya.
Mutua said that the content of the song Kwangwaru undermines the country’s culture and values. “There will be no singing or performing of coded music by young children that they cannot understand,” he explained. According to Mutua, anyone found playing this type of songs for our children will be dealt with.
The KFCB also explained that the Kenya Revenue Authority incurs loses in revenue whenever the artists perform in Kenya because they lias with the club managers to perform and send the revenue directly to their countries while Kenya gets nothing.
“This is the start of the national campaign to restore our moral values, ensure regulation and compliance with the film and stage plays act,” Mutua stated.View attachment 1043835
Hatufagilii habari za kichoko kama hizo zako. Kajiunge na wenzako huko sio hapa!ndio hivyo sasa ishafungiwa.
We chakufanya paka mafuta ukafir w e
ujumbe umeupata lakini fanya fasta taco hilo likaliweHatufagilii habari za kichoko kama hizo zako. Kajiunge na wenzako huko sio hapa!
Hatununui hicho kijambio chako bro
Tushasema hatufagilii habari zako za kichoko bro hata rais hataki hizo habari zenu!ujumbe umeupata lakini fanya fasta taco hilo likaliwe
Kwa hiyo umewaamini waliokutafsiria kuliko waliotoa tamko? Shida ni nini kwa nini usiende kwenye taarifa yenyewe halafu uone kama hiki ulichokiandika ndicho kilichosemwa. Shughulisha ubongo, mnapenda kutafsiriwa kila kitu.Habari yako feki ,Kwanza Kenya hawana upuuzi kama wenu,hebu kasikilize wimbo wa Nibebe -Nyota ndogo ft Nonini ,ulisikilize tusi aliotukana Nonini na nyimbo bado ikawa inapigwa kama kawa na show watu wanapiga.
Mwana alafu unakurupuka kweli,haya BONGO5 wamekutafsiria nyimbo imezuiwa kutumika mashuleni,lakini kwenye party za watu wazima wanaruhusiwa kuimba.
PIGO: Wimbo wa Kwangwaru, Mwanza zapigwa marufuku kutumika mashuleni nchini Kenya (+ Video) - Bongo5.com
Lamba lolo ni bonge la ngoma, na ina mitusi ya nguvuHawa watu kwa mtindo huu Al shabab watawapiga sana kila siku.
Waimbe basi hizo nyimbo zao lamba lolo, dundaig, dawa ya moto.
BONGO5 ni source ya uhakika,alafu Kenya hawawezi kufungia sababu kenya lugha mbili ndizo zinatumika English na Kiswahili ,ukisema watumie reference ya nyimbo basi nyimbo za wasanii wote wa US zitafungiwa na wote hawatafanya show Kenya.Nilichokielewa mimi kwanza wanataka kulinda utamaduni wao,pili wameweka kodi kubwa kwa wasanii wa nje ili kulinda wasanii wa ndani.Mbona BBC swahili tunafsiriwa kwa hiyo ina maana wanaoangalia BBC swahili hawataki kuumiza kichwa.Kwa hiyo umewaamini waliokutafsiria kuliko waliotoa tamko? Shida ni nini kwa nini usiende kwenye taarifa yenyewe halafu uone kama hiki ulichokiandika ndicho kilichosemwa. Shughulisha ubongo, mnapenda kutafsiriwa kila kitu.
Kwani katiba yako haisupport?Hivi Kenya si wana support LGBT sasa kitu kidogo kama hiki wanakipigaje ban!?..
Unless hiyo red lines ndio sababu kuu.
BONGO5 ni source ya uhakika,alafu Kenya hawawezi kufungia sababu kenya lugha mbili ndizo zinatumika English na Kiswahili ,ukisema watumie reference ya nyimbo basi nyimbo za wasanii wote wa US zitafungiwa na wote hawatafanya show Kenya.Nilichokielewa mimi kwanza wanataka kulinda utamaduni wao,pili wameweka kodi kubwa kwa wasanii wa nje ili kulinda wasanii wa ndani.Mbona BBC swahili tunafsiriwa kwa hiyo ina maana wanaoangalia BBC swahili hawataki kuumiza kichwa.
Imefungiwa mashuleni ila inaruhusiwa club majukwaani etcndio hivyo sasa ishafungiwa.
We chakufanya paka mafuta ukafir w e
BBCS wahili ina maana hawatumii upper head ?Mimi nilichoangalia ni source ya uhakika.Nyingine hii yapa kutoka kenya kwenyewe.Sasa ukiisoma hiyo habari ya Bongo 5 huoni kama imetafsiriwa kwa google translator? Huoni hata unyoofu wake wa lugha ulivyo? Use your upper head bro, weka utimu pembeni uelewe habari kwanza kisha ubishe kwa hoja.
okImefungiwa mashuleni ila inaruhusiwa club majukwaani etc
BBCS wahili ina maana hawatumii upper head ?Mimi nilichoangalia ni source ya uhakika.Nyingine hii yapa kutoka kenya kwenyewe.
Kenya now bans Diamond’s ‘Kwangwaru’ in schools
View attachment 1043936
Tatizo la lugha unalo wewe .