Baadhi ya nyimbo za WASAFI zapigwa marufuku, Diamond ashutumiwa kutolipa kodi anapofanya kazi Kenya

Baadhi ya nyimbo za WASAFI zapigwa marufuku, Diamond ashutumiwa kutolipa kodi anapofanya kazi Kenya

Acha wazifungie sisi tunatetema kwani shida hihi?? Waache walambe lolo zao
Kumbavuuu!
 
'BASATA' ya Kenya, imemfungia msanii Diamond Platnumz, kufanya shughuli za muziki nchini humo. Pia imeufungia wimbo wa Kwangaru alioimba na Harmonize kwa madai ya kukosa maadili. Hatua hiyo imekuja kwa kuchelewa kwani tayari Kwangaru imeshaweka rekodi ya kuwa the most viewed music video in East Africa, Kenya inclusively. Yajayo yanasikitisha.

***
Kenya Film Classification Board (KFCB) boss Ezekiel Mutua has banned Harmonize and Diamond’s hit song Kwangwaru.

Speaking in Mombasa, Mutua made it clear that he will not allow Diamond and other foreigners whose music have been banned in their countries to perform in Kenya.

Mutua said that the content of the song Kwangwaru undermines the country’s culture and values. “There will be no singing or performing of coded music by young children that they cannot understand,” he explained. According to Mutua, anyone found playing this type of songs for our children will be dealt with.

The KFCB also explained that the Kenya Revenue Authority incurs loses in revenue whenever the artists perform in Kenya because they lias with the club managers to perform and send the revenue directly to their countries while Kenya gets nothing.

“This is the start of the national campaign to restore our moral values, ensure regulation and compliance with the film and stage plays act,” Mutua stated.View attachment 1043835
Habari yako feki ,Kwanza Kenya hawana upuuzi kama wenu,hebu kasikilize wimbo wa Nibebe -Nyota ndogo ft Nonini ,ulisikilize tusi aliotukana Nonini na nyimbo bado ikawa inapigwa kama kawa na show watu wanapiga.

Mwana alafu unakurupuka kweli,haya BONGO5 wamekutafsiria nyimbo imezuiwa kutumika mashuleni,lakini kwenye party za watu wazima wanaruhusiwa kuimba.

PIGO: Wimbo wa Kwangwaru, Mwanza zapigwa marufuku kutumika mashuleni nchini Kenya (+ Video) - Bongo5.com
 
ndio hivyo sasa ishafungiwa.
We chakufanya paka mafuta ukafir w e
Hatufagilii habari za kichoko kama hizo zako. Kajiunge na wenzako huko sio hapa!
Hatununui hicho kijambio chako bro
 
ujumbe umeupata lakini fanya fasta taco hilo likaliwe
Tushasema hatufagilii habari zako za kichoko bro hata rais hataki hizo habari zenu!
Kama unaliwa kijambio liwa kimya kimya usijitangaze bro..

Aliwazalo mjinga ndo humtokea
 
Habari yako feki ,Kwanza Kenya hawana upuuzi kama wenu,hebu kasikilize wimbo wa Nibebe -Nyota ndogo ft Nonini ,ulisikilize tusi aliotukana Nonini na nyimbo bado ikawa inapigwa kama kawa na show watu wanapiga.

Mwana alafu unakurupuka kweli,haya BONGO5 wamekutafsiria nyimbo imezuiwa kutumika mashuleni,lakini kwenye party za watu wazima wanaruhusiwa kuimba.

PIGO: Wimbo wa Kwangwaru, Mwanza zapigwa marufuku kutumika mashuleni nchini Kenya (+ Video) - Bongo5.com
Kwa hiyo umewaamini waliokutafsiria kuliko waliotoa tamko? Shida ni nini kwa nini usiende kwenye taarifa yenyewe halafu uone kama hiki ulichokiandika ndicho kilichosemwa. Shughulisha ubongo, mnapenda kutafsiriwa kila kitu.
 
BONGO5 ni source ya uhakika,alafu Kenya hawawezi kufungia sababu kenya lugha mbili ndizo zinatumika English na Kiswahili ,ukisema watumie reference ya nyimbo basi nyimbo za wasanii wote wa US zitafungiwa na wote hawatafanya show Kenya.Nilichokielewa mimi kwanza wanataka kulinda utamaduni wao,pili wameweka kodi kubwa kwa wasanii wa nje ili kulinda wasanii wa ndani.Mbona BBC swahili tunafsiriwa kwa hiyo ina maana wanaoangalia BBC swahili hawataki kuumiza kichwa.
 
Sasa ukiisoma hiyo habari ya Bongo 5 huoni kama imetafsiriwa kwa google translator? Huoni hata unyoofu wake wa lugha ulivyo? Use your upper head bro, weka utimu pembeni uelewe habari kwanza kisha ubishe kwa hoja.
 
BBCS wahili ina maana hawatumii upper head ?Mimi nilichoangalia ni source ya uhakika.Nyingine hii yapa kutoka kenya kwenyewe.
Kenya now bans Diamond’s ‘Kwangwaru’ in schools

11114.PNG

Tatizo la lugha unalo wewe .
 
Wamfungie maisha kabisa kila wimbo Domo chapati lazima atukane , hataa huu mpya mitusi kibao , nenda Kwa Mbosso , Lava lava utachoka .

Wachafu baby bila kuimba mitusi itakufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom