Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikua naona kama majamaa wanaonewa mpaka nilipomkuta mtoto wangu wa miaka miwili na nusu anaimba tetema roho ya ubasata ikaniingia now i hate those niggers with all my heart
Nyimbo imejaa matusi TU unadhani kwa Nini Kenya waipiga marufuku shuleniWenzetu kenya wanajielewa...wamefungia mashuleni tu..,ila bongo ngoma inafungiwa kila kona[emoji3]
Mwanza jamaa waliomba ipigwe usku tu na basata wakagoma..
Hii ndio tofaut ya kwetu na Kenya.
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Nyie Ni wamarekani siku hiziAsilimia 90 ya nyimbo za marekani in matusi kwa tafsir hiyo ,hebu kaziskize nyimbo hizi za 1970 nyama ya bats itamuuu nyama ya ,bataaa...msanii anachotakiwa mafumbo ,ukisema kuna mtoto anaelewa tafsiri ya bby papa jusi nisafishe mtaro ...huyo mtu mzima
Nyimbo za hawa wcb ni marufuku kupigwa nyumbani kwangu.Nilikua naona kama majamaa wanaonewa mpaka nilipomkuta mtoto wangu wa miaka miwili na nusu anaimba tetema roho ya ubasata ikaniingia now i hate those niggers with all my heart
BASATA kidizain wamezidiwa ukubwa na hawa majamaaNyimbo za hawa wcb ni marufuku kupigwa nyumbani kwangu.
Kuna siku Mtoto ananiuliza eti baba hapo amesema kwenye kochi nini..? Wimbo wa tetema
Sent using Jamii Forums mobile app
so inamaana DIAMOND & HARMONIZE wote hawaruhusiw kupiga shoo +254Kwani Nyegezi ni wa Rayvanny au wa Diamond? Mbona walipigwa ban wote?
We jamaa waki sana,nmesema huko kenya imepigwa marufuku kwa wanafunz tu na si kwingne,,sasa huku kwetu inafungiwa kila kona regardless wcb waliomba ipigwe usku tu as exception kama kenya walivyo zuia kwa wanafunz...ni sawa na explicit contents kusema isiwepo youtube wakti ungeweka warning tu pale inakua haina shida.Nyimbo imejaa matusi TU unadhani kwa Nini Kenya waipiga marufuku shuleni
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamarekani sio waafrika tunatarajia Kenya iwe Kali kwa hawa wanaosikilizwa zaidi na wasio waafrica
nipe kamojaaa tuuuuuu ngoja nikadanlodi (download)Ndio maana tunasema EAC is a myth...
Nyimbo zao tuu hao wakenya zina matusi mara 80000 zaidi ya za WCB na hawazifungii.
Bado kuna nyimbo kutoka kwa foreigners kina chriss brown na wengineo matusi matupu tuu....
Lakini wameaua kutarget WCB kisa ni wabongo na wamepata wanamake kwao roho zinawauma wakati sisi Tz zile nyimbo zao za kamoja tuu na ile unaishiwa na chi hatujawahi zifungia