Baadhi ya nyimbo za WASAFI zapigwa marufuku, Diamond ashutumiwa kutolipa kodi anapofanya kazi Kenya

Baadhi ya nyimbo za WASAFI zapigwa marufuku, Diamond ashutumiwa kutolipa kodi anapofanya kazi Kenya

Wivu tu.. mbona nyimbo za wasanii wa Kenya zina matusi ya waziwazi kabisa
 
Wivu tu.. mbona nyimbo za wasanii wa Kenya zina matusi ya waziwazi kabisa
 
Nilikua naona kama majamaa wanaonewa mpaka nilipomkuta mtoto wangu wa miaka miwili na nusu anaimba tetema roho ya ubasata ikaniingia now i hate those niggers with all my heart
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dhaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzetu kenya wanajielewa...wamefungia mashuleni tu..,ila bongo ngoma inafungiwa kila kona[emoji3]

Mwanza jamaa waliomba ipigwe usku tu na basata wakagoma..

Hii ndio tofaut ya kwetu na Kenya.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Nyimbo imejaa matusi TU unadhani kwa Nini Kenya waipiga marufuku shuleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko mashuleni hizi nyimbo na genre kama hii kwa ujumla huwa zinapigwa wakati gani ? wa Disco au ?
 
Nilikua naona kama majamaa wanaonewa mpaka nilipomkuta mtoto wangu wa miaka miwili na nusu anaimba tetema roho ya ubasata ikaniingia now i hate those niggers with all my heart
Nyimbo za hawa wcb ni marufuku kupigwa nyumbani kwangu.
Kuna siku Mtoto ananiuliza eti baba hapo amesema kwenye kochi nini..? Wimbo wa tetema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyimbo imejaa matusi TU unadhani kwa Nini Kenya waipiga marufuku shuleni

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa waki sana,nmesema huko kenya imepigwa marufuku kwa wanafunz tu na si kwingne,,sasa huku kwetu inafungiwa kila kona regardless wcb waliomba ipigwe usku tu as exception kama kenya walivyo zuia kwa wanafunz...ni sawa na explicit contents kusema isiwepo youtube wakti ungeweka warning tu pale inakua haina shida.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Ndio maana tunasema EAC is a myth...

Nyimbo zao tuu hao wakenya zina matusi mara 80000 zaidi ya za WCB na hawazifungii.

Bado kuna nyimbo kutoka kwa foreigners kina chriss brown na wengineo matusi matupu tuu....

Lakini wameaua kutarget WCB kisa ni wabongo na wamepata wanamake kwao roho zinawauma wakati sisi Tz zile nyimbo zao za kamoja tuu na ile unaishiwa na chi hatujawahi zifungia
 
nipe kamojaaa tuuuuuu ngoja nikadanlodi (download)
 
Baadhi ya nyimbo za wasafi zapigwa marufuku kupigwa katika station nchini kenya, Nyimbo hizo ni zile zenye maudhui na maneno ya matusi. na pia kudai baadhi ya wasanii wanaoingia nchini humu hawalipi kodi kwa kuwa hufanya malipo kutokea nchi walizomo na kuinyima serikali ya kenya kukosa mapato.
 
Back
Top Bottom