Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Nchi yenu inayoongoza kwa kuteka na. kuua raia wake kwa sasa Duniani, hili unalifahamu?Au sio okay 👍
Nchi yenu inayoongoza kwa kuteka na. kuua raia wake kwa sasa Duniani, hili unalifahamu?Au sio okay 👍
Sifahamu kuhusu hili jambo kwa undani nasikia juu juuNchi yenu inayoongoza kwa kuteka na. kuua raia wake kwa sasa Duniani, hili unalifahamu?
Endelea kujifunza utafahamuSifahamu kuhusu hili jambo kwa undani nasikia juu juu
Ahsante sana mkuuEndelea kujifunza utafahamu
Mshana punguza jazba 😁Tutaenda Rwanda no way
Mimi nahisi pombe zao wanatengeneza wenyewe kwa kupachika nembo feki ya Pombe za Tanzania.Halafu pombe zao nyingi ni feki
Ulitaka kuona mnawaingizia pombe feki hukoIla kila baya linalohusu Tanzania unasherekea?
Hata kama ni upinzani sio kwa kila kitu jamani heh🙌
Tanzania tutatengwa na dunia kisiasa na kiuchumi muda siyo mrefu.Kwa hio kama mtu ameshanunua mzigo ndo imekula kwake au?Being a business man is not for the fainted hearts
Off topic. Enzi za Jakaya, Rwanda ilipiga marufuku makampuni ya kusafirisha mafuta kutoka Tanzania. Hii ilikuwa ni baada ya wafanyabishara kuchanganya diesel na mafuta ya taa. Serekali ya CCM ya Kikwete iliamua kupandisha bei ya mafuta ya taa ikaribiane na ya diesel.Ila kila baya linalohusu Tanzania unasherekea?
Hata kama ni upinzani sio kwa kila kitu jamani heh🙌
Kuna pombe Za kutoka India,Kenya,Uganda ziko kwny hio List ya kupigwa marufuku,sio Tz tuTanzania tutatengwa na dunia kisiasa na kiuchumi muda siyo mrefu.