figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
- #41
Konyagi wameshindwa kujuonngeza..Konyagi imechakachuliwa sanaaa

Kwahiyo unataka kusemaje? Mimi nimezungumzia Tanzania. Nawe tafuta nchi uizungumzie.Kuna pombe Za kutoka India,Kenya,Uganda ziko kwny hio List ya kupigwa marufuku,sio Tz tu
Pombe zinazo takiwa kuruhusiwa zilitakiwa kuwa bia na wine tu na pombe ya kienyeji ni mbegetu ...Wamefanya maamuzi sahihi sana kwanza walichelewa.
Soko litoke wapi watu bar wanakunywa maziwaHivi 🇷🇼 kuna soko kubwa la pombe kutoka 🇹🇿
Kwa hili la kupigwa ban hizo gongo ni zuri?Ila kila baya linalohusu Tanzania unasherekea?
Hata kama ni upinzani sio kwa kila kitu jamani heh🙌
Ndiyo pombe nayo ni dawa ya kulevya iliidhinishwaWalevi hulalamika kuna pombe feki hazileweshi, sijawahi kusikia wavuta sigara nay wakilalamika kuna sigara wakivuta hawapati stimu. Hata wavuta bangi nao wanaweza kulalamika kuwa wanauziwa makushabo, hayaleweshi, hawapati ridhimu. Wote hawa ni watumiaji wa mihadarati/dawa za kulevya, pombe nayo ni aina ya dawa ya kulevya ya daraja lake
Wameshajua ni sumu...huku sasa tunawatafutia vijana bima ya afya kwa wote ili tuwatibu vizuri figo na maini...Yaani sasa Rwanda haitaki Mataputapu kutoka Tanzania. Ila double kiki imepenya🤣🤣
Watengeneza pombe wameagizwa kuziondoa sokoni, na kusitisha matangazo ya pombe kila sehemu hata mabango yaondolewe. Seriously note.
Mtu eti anamaliza mzinga mwenyewe na halewi.
Mipombe ya Tanzania ni mimaji tu.
Sasa hakuna kuvuka boda kuingia Rwanda..
Sijataja Kampuni ya Mtu. Ila soon wataanza kutoa Mlio
Rwanda wameamua kuokoa kizazi chao hasa Vijana
View attachment 3644030
Kwa mujibu wa Sheria N° 003/2018 ya tarehe 09/02/2018 iliyoanzisha Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Rwanda (Rwanda FDA) na kubaini dhamira, mpangilio na utendaji kazi wake; hasa katika Kifungu chake cha 9 (2);
Kwa maslahi ya afya ya umma, FDA ya Rwanda inawafahamisha waagizaji wote, wasambazaji, wauzaji rejareja na umma kwa ujumla kwamba uingizaji wa vinywaji vyenye pombe vilivyoorodheshwa katika Kiambatisho I umesimamishwa kwa muda na kuanza kutumika mara moja. Hivyo, hatua zifuatazo za udhibiti zinaanza kutumika mara moja:
1. FDA ya Rwanda inawaagiza waagizaji wa bidhaa hizi kuanza mara moja kurudisha bidhaa hizo zote.
2. FDA ya Rwanda yawaagiza waagizaji wa bidhaa za kigeni kuwaomba wasambazaji husika mara moja ili kurejesha bidhaa zilizoorodheshwa kutoka kwa wateja wao, kurudisha hisa za sasa na bidhaa zilizorejeshwa kwa waagizaji.
3. FDA ya Rwanda inawaagiza waagizaji kuwasilisha ripoti za kurejeshwa kwa bidhaa ndani ya siku 3 za kazi tangu kuchapishwa kwa tangazo hili.
4. FDA ya Rwanda inawaagiza wasambazaji na wauzaji rejareja wote wa bidhaa zilizoorodheshwa katika Kiambatisho cha I kuacha mara moja usambazaji na uuzaji wao, na kuwarejeshea waagizaji wao kiasi kilichobaki mara moja.
5. Kutofuata yote yaliyo hapo juu kutasababisha hatua chini ya vifungu vya udhibiti vinavyotumika.
6. FDA ya Rwanda inawataka watumiaji wa vileo vilivyoorodheshwa katika Kiambatisho cha I kuacha mara moja matumizi yao.
7. Matangazo yote na nyenzo za utangazaji wa vileo zilizoorodheshwa katika Kiambatisho I, lazima ziondolewe mara moja kutoka popote zinapoonyeshwa.
Kumbuka: Orodha ya bidhaa zingine husika itatolewa kwa wakati unaofaa kadri utekelezaji wa sheria unavyoendelea.
FDA ya Rwanda inathamini uelewa na ushirikiano wako ndugu Mtanzania 🤣
Hakuna soko huko.Hivi 🇷🇼 kuna soko kubwa la pombe kutoka 🇹🇿
Ndiyo maana Vijana wengi wanaunwa Ugonjwa wa FigoHalafu pombe zao nyingi ni feki
Vifungwe kabisaYaani sasa Rwanda haitaki Mataputapu kutoka Tanzania. Ila double kiki imepenya🤣🤣
Watengeneza pombe wameagizwa kuziondoa sokoni, na kusitisha matangazo ya pombe kila sehemu hata mabango yaondolewe. Seriously note.
Mtu eti anamaliza mzinga mwenyewe na halewi.
Mipombe ya Tanzania ni mimaji tu.
Sasa hakuna kuvuka boda kuingia Rwanda..
Sijataja Kampuni ya Mtu. Ila soon wataanza kutoa Mlio
Rwanda wameamua kuokoa kizazi chao hasa Vijana
View attachment 3644030
Kwa mujibu wa Sheria N° 003/2018 ya tarehe 09/02/2018 iliyoanzisha Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Rwanda (Rwanda FDA) na kubaini dhamira, mpangilio na utendaji kazi wake; hasa katika Kifungu chake cha 9 (2);
Kwa maslahi ya afya ya umma, FDA ya Rwanda inawafahamisha waagizaji wote, wasambazaji, wauzaji rejareja na umma kwa ujumla kwamba uingizaji wa vinywaji vyenye pombe vilivyoorodheshwa katika Kiambatisho I umesimamishwa kwa muda na kuanza kutumika mara moja. Hivyo, hatua zifuatazo za udhibiti zinaanza kutumika mara moja:
1. FDA ya Rwanda inawaagiza waagizaji wa bidhaa hizi kuanza mara moja kurudisha bidhaa hizo zote.
2. FDA ya Rwanda yawaagiza waagizaji wa bidhaa za kigeni kuwaomba wasambazaji husika mara moja ili kurejesha bidhaa zilizoorodheshwa kutoka kwa wateja wao, kurudisha hisa za sasa na bidhaa zilizorejeshwa kwa waagizaji.
3. FDA ya Rwanda inawaagiza waagizaji kuwasilisha ripoti za kurejeshwa kwa bidhaa ndani ya siku 3 za kazi tangu kuchapishwa kwa tangazo hili.
4. FDA ya Rwanda inawaagiza wasambazaji na wauzaji rejareja wote wa bidhaa zilizoorodheshwa katika Kiambatisho cha I kuacha mara moja usambazaji na uuzaji wao, na kuwarejeshea waagizaji wao kiasi kilichobaki mara moja.
5. Kutofuata yote yaliyo hapo juu kutasababisha hatua chini ya vifungu vya udhibiti vinavyotumika.
6. FDA ya Rwanda inawataka watumiaji wa vileo vilivyoorodheshwa katika Kiambatisho cha I kuacha mara moja matumizi yao.
7. Matangazo yote na nyenzo za utangazaji wa vileo zilizoorodheshwa katika Kiambatisho I, lazima ziondolewe mara moja kutoka popote zinapoonyeshwa.
Kumbuka: Orodha ya bidhaa zingine husika itatolewa kwa wakati unaofaa kadri utekelezaji wa sheria unavyoendelea.
FDA ya Rwanda inathamini uelewa na ushirikiano wako ndugu Mtanzania 🤣
Aah sawaHakuna soko huko.
Hii ni kutoka masjara asante mkuuOff topic. Enzi za Jakaya, Rwanda ilipiga marufuku makampuni ya kusafirisha mafuta kutoka Tanzania. Hii ilikuwa ni baada ya wafanyabishara kuchanganya diesel na mafuta ya taa. Serekali ya CCM ya Kikwete iliamua kupandisha bei ya mafuta ya taa ikaribiane na ya diesel.
Wewe unaonaje?Kwa hili la kupigwa ban hizo gongo ni zuri?
Ahaa okaySoko litoke wapi watu bar wanakunywa maziwa
Okay 👍Ulitaka kuona mnawaingizia pombe feki huko
Unafikiri wa rwanda crisis ya ulevi wa pombe huku tz hawaioni
Ova
Ni zuri, na jamaa ameunga mkono kitu kizuri. Halafu usitake sana watu wasifie. Wewe chagua upande wa kusifia yeye amechagua upande wa kukandya. Ni mgawanyo wa majukumu tuWewe unaonaje?
Okay 😊Ni zuri, na jamaa ameunga mkono kitu kizuri. Halafu usitake sana watu wasifie. Wewe chagua upande wa kusifia yeye amechagua upande wa kukandya. Ni mgawanyo wa majukumu tu
Maamuzi ya aina hii yanathibitisha maana ya kuwa kiongozi..uamuzi huu wa rwanda unafuatia hotuba ya Rais Kagame siku chache zilizopita akieleza kutofurahishwa na tabia ya ulevi kwa vijana na alieleza wazi taifa linawahitaji sana vijana..si sahihi kuwaacha waangamie kwa ulevi, kwa sasa pombe nyingi zinatengenezwa bila kufuata viwango vilivyowekwa..hapa Tanzania Rais Magufuli alipoingia tu madarakani alipiga marufuku viroba..lkn kwa sasa hali ni mbaya, nchi ni sawa na jalala..kila hatua 5 baa, matambala kila mahali, kwenye vileo ndio balaa na hakuna kiongozi ANAJALI taarifa ya utafiti ya CTI imetaja wazi tatizo kubwa la pombe feki..na hakuna hatua zozote zmechukuliwa....Yaani sasa Rwanda haitaki Mataputapu kutoka Tanzania. Ila double kiki imepenya🤣🤣