A
Anonymous
Guest
Kuna changamoto katika shule za sekondari na msingi kuwatoza wanafunzi hela ya mitihanii kila mwezi na huku wanalipa hela kwa ajili ya masomo kwa siku za kawaida na wasipokuwa na hizo pesa hawafanyi mitihani.
Nimelishuhudia hili kwa shule za Tarime mkoani mara, hasa Mogabiri Secondary School na shule ya msingi Mtingiro.
www.jamiiforums.com
Nimelishuhudia hili kwa shule za Tarime mkoani mara, hasa Mogabiri Secondary School na shule ya msingi Mtingiro.
Waziri wa Elimu, Prof. Mkenda apiga marufuku Shule kuzuia Wanafunzi ambao hawajalipa fedha za michango
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amepiga marufuku shule kuweka michango ya lazima ambayo inawanyima Watoto kwenda shule. Pia Soma: - Shule ya Msingi Tumaini ya Tabata Kimanga Wanafunzi wasiochangia Tsh. 800 wanatolewa Darasani - Malalamiko yaendelea kuhusu malipo...