Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Makamanda mnahaha na kujitia faraja, ha ha ha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaa nchi imegawanyika, watu chrismas wataenda mazabauni, uki kina Mbowe ambao hawan hatia wanasota RumandeNCHI IMEGAWANYIKA VIPANDE VIPANDE, HATUAMINIANI, KILA MTU AMEGEUKIA KWAKE, OLE WETU SISI MAANA HATUPENDANI TENA, ADUI HATUMTAFUTI NJE YA MIPAKA TENA, TUMESHAKUWA MAADUI SISI KWA SISI,UDUGU UMEKUFA, TUNAOMBEANA MABAYA. ADUI AMEPATA NAFASI. MUNGU IPONYE TANZANIA
Hiyo itakuwa ni nafuu kuliko trade embago na kusitishiwa misaada na mikopo kwani hao hata wasipoenda siyo shida sana kwakuwa rais mwenyewe haendi
Mungu wabariki Wazungu .
No vyema na tazama yafaa sana kujiuliza yalianzaje hayaNCHI IMEGAWANYIKA VIPANDE VIPANDE, HATUAMINIANI, KILA MTU AMEGEUKIA KWAKE, OLE WETU SISI MAANA HATUPENDANI TENA, ADUI HATUMTAFUTI NJE YA MIPAKA TENA, TUMESHAKUWA MAADUI SISI KWA SISI,UDUGU UMEKUFA, TUNAOMBEANA MABAYA. ADUI AMEPATA NAFASI. MUNGU IPONYE TANZANIA
Ukibaguliwa unatafuta rafiki, ukibaguliwa na ndg was ndani basi mtu wa nje (adui) anakuwa rafikiNCHI IMEGAWANYIKA VIPANDE VIPANDE, HATUAMINIANI, KILA MTU AMEGEUKIA KWAKE, OLE WETU SISI MAANA HATUPENDANI TENA, ADUI HATUMTAFUTI NJE YA MIPAKA TENA, TUMESHAKUWA MAADUI SISI KWA SISI,UDUGU UMEKUFA, TUNAOMBEANA MABAYA. ADUI AMEPATA NAFASI. MUNGU IPONYE TANZANIA