Tetesi: Baadhi ya viongozi kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwenda Ulaya na Marekani

Tetesi: Baadhi ya viongozi kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwenda Ulaya na Marekani

Kama umefuatilia news za wenzetu siku mbili hizi utakuwa umekutana na news kuwa Marekani inaanza kupambana rasmi na ukuwaji wa uchumi na influence wa nchi ya China na Russia Africa.

Kwa hiyo, hawa jamaa wakiweka vikwazo Tanzania, wala siyo kwa faida yetu au kwa kutusaidia. Lengo lao kubwa ni kuibana China na Russia kwenye nchi za Africa.

Sisi huku tutapiga makofi na kuwashukuru wakati mzee Trump hana time na wewe kabisaa, lengo ni kuiangusha China na Russia.

Wapiganapo fahari wawili... Ziumiazo nyasi... Endeleeni kuwapigia wazungu makofi.

Chanzo cha habari ni BBC, Aljazeera na Reuters

U.S. to counter China, Russia influence in Africa: Bolton | Reuters
 
Huu utawala hawasomagi maandishi ukutani !! Ila naamini hawataki na mioyo migumu kutufikisha kwenye dhiki kuu. [emoji120][emoji87]
Acha kujilainisha wewe. Mtu lazima usisimame upande wako hadi hatua ya mwisho. Sasa tunawaelelwa wazungu wanataka nini.
 
ndo kilichokuwa kimempeleka membe ulaya,safari zake za nje kimya kimya hazikomi,kweli tamaa ya madaraka ni mbaya sana.
 
Acha kujilainisha wewe. Mtu lazima usisimame upande wako hadi hatua ya mwisho. Sasa tunawaelelwa wazungu wanataka nini.
Acheni elements za ki DICTATOR na mambo yatakuwa mazuri. Democracy haileti umasikini bali maendeleo ya kweli.
 
Aisee wakuu hali ni mbaya,

Nimeona habari katika chanzo kimoja cha kimataifa, ni kuwa kuna hatari ya kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwenda ulaya na marekani kwa viongozi fulani kutoka Tanzania.

Inasemekana vikwazo vinaweza kuwakumba, Paul Makonda, msajili wa vyama vya siasa, na baadhi ya viongozi wa juu wa serikali.

Aisee hali ni mbaya

Source. Fox news.
Waanze na vidampa wao pia hata vijinga jinga kama vya kina Musiba, Le mutuz na sampuli hizo vipigwe pini vizeekee jijini Dsm pasipo kwenda kokote angalau udikteta na ujinga wao utapungua
 
ndo kilichokuwa kimempeleka membe ulaya,safari zake za nje kimya kimya hazikomi,kweli tamaa ya madaraka ni mbaya sana.

Membe hahusiki na hayo usitake kutengeneza Habari feki, Ubaya wa CCM kwa Wapinzani upo wazi hata kipofu anaona kila kitu
 
NCHI IMEGAWANYIKA VIPANDE VIPANDE, HATUAMINIANI, KILA MTU AMEGEUKIA KWAKE, OLE WETU SISI MAANA HATUPENDANI TENA, ADUI HATUMTAFUTI NJE YA MIPAKA TENA, TUMESHAKUWA MAADUI SISI KWA SISI,UDUGU UMEKUFA, TUNAOMBEANA MABAYA. ADUI AMEPATA NAFASI. MUNGU IPONYE TANZANIA
Aiponye ili iweje?[emoji124]
 
Aisee wakuu hali ni mbaya,

Nimeona habari katika chanzo kimoja cha kimataifa, ni kuwa kuna hatari ya kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwenda ulaya na marekani kwa viongozi fulani kutoka Tanzania.

Inasemekana vikwazo vinaweza kuwakumba, Paul Makonda, msajili wa vyama vya siasa, na baadhi ya viongozi wa juu wa serikali.

Aisee hali ni mbaya

Source. Fox news.
Kwa DAB itakuwa ni pigo maana kiigani alimpata huko huko
 
Wangewapiga ban na wale watembeza bakuli
Aisee wakuu hali ni mbaya,

Nimeona habari katika chanzo kimoja cha kimataifa, ni kuwa kuna hatari ya kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwenda ulaya na marekani kwa viongozi fulani kutoka Tanzania.

Inasemekana vikwazo vinaweza kuwakumba, Paul Makonda, msajili wa vyama vya siasa, na baadhi ya viongozi wa juu wa serikali.

Aisee hali ni mbaya

Source. Fox news.
 
Vyote vinajumlishwa
Hiyo itakuwa ni nafuu kuliko trade embago na kusitishiwa misaada na mikopo kwani hao hata wasipoenda siyo shida sana kwakuwa rais mwenyewe haendi
 
Yaani mtu moja anaitia hasara nchini kwa upumbavu wake

Umesahau kuwa waganda walitawaliwa na Nduli Idd Amin kwa muda mrefu huku wakiuawa kama panya mpaka majeshi ya Tanzania yalipokwenda kuwakomboa!!! Wabongo itakuwa hivyo hivyo mpaka mje kukombolewa na safari hii watakuwa wazungu!!!
 
Back
Top Bottom