Tetesi: Baadhi ya viongozi kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwenda Ulaya na Marekani

Tetesi: Baadhi ya viongozi kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwenda Ulaya na Marekani

ndo kilichokuwa kimempeleka membe ulaya,safari zake za nje kimya kimya hazikomi,kweli tamaa ya madaraka ni mbaya sana.
Daa mkuu weka mahaba pembeni points walizotoa EU mbona mnazikwepa, magufuli ameua umoja wa kitaifa, me sahv bora usaliti nchi yangu ili hawa wauaji watoke madarakani
 
Kwahiyo maazimio 15 wametusingizia mpuuzi wewe
Wewe unaamini kuwa Marekani na EU wanafanya haya kwa faida ya sisi Watanzania masikini?
Ukitaka ubaya utaukuta kila kona. Ni kuuchukua na kuutumia utakavyo and non will be any wiser.
 
Daa mkuu weka mahaba pembeni points walizotoa EU mbona mnazikwepa, magufuli ameua umoja wa kitaifa, me sahv bora usaliti nchi yangu ili hawa wauaji watoke madarakani

Umoja wa kitaifa wa kupinga kila kitu.
 
Jaribu kutueleza ubaya wake wa kutokwenda usa au eu ni nini? acha kukimbilia tuweka post. kwani makonda ni rc wa Texas, au msajili ni wa vyama vya USA au EU? ukiona kitu kitafune ndio utuletee

Aisee wakuu hali ni mbaya,

Nimeona habari katika chanzo kimoja cha kimataifa, ni kuwa kuna hatari ya kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwenda ulaya na marekani kwa viongozi fulani kutoka Tanzania.

Inasemekana vikwazo vinaweza kuwakumba, Paul Makonda, msajili wa vyama vya siasa, na baadhi ya viongozi wa juu wa serikali.

Aisee hali ni mbaya

Source. Fox news.
 
Ungekuwepo wakati wa ukoloni usingethubutu kuyasema haya. Ungekuwepo South Africa wakati wa ubaguzi ungeyasema haya
Na huu ukoloni wa mkoloni mweusi je? Nilikuwa SA wakati wa utawala wa De Clark, the shit watu wa opposition wanayopitia hako tofauti na yaliyokuwa kule.
 
Wewe unaamini kuwa Marekani na EU wanafanya haya kwa faida ya sisi Watanzania masikini?
Haijalishi cha msingi Makaburu watoke, mi naona kama vikwazo havitoshi wangeomba kabisa nafasi Kenya ya kuweka manuari yao waje watupige tu.
 
Na huu ukoloni wa mkoloni mweusi je? Nilikuwa SA wakati wa utawala wa De Clark, the shit watu wa opposition wanayopitia hako tofauti na yaliyokuwa kule.
Weee unasema De Clark, wakati wa Voster na Botha ulikuwepo?
 
Ungekuwepo wakati wa ukoloni usingethubutu kuyasema haya. Ungekuwepo South Africa wakati wa ubaguzi ungeyasema haya
Bali nipo Tanzania nchi ambayo mbunge anapigwa risasi kwenye eneo la bunge huku camera za cctv zikiporwa na mbunge wa Chato bila hata kupepesa macho , nipo kwenye nchi ambayo viongozi wamegeuka kuwa miungu watu , niko kwenye nchi ambayo Msajili wa vyama anashirikiana na Lipumba kuiba hela ya cuf huku polisi wanaangalia tu .
 
Wewe unaamini kuwa Marekani na EU wanafanya haya kwa faida ya sisi Watanzania masikini?
Haijalishi cha msingi Makaburu watoke, mi naona kama vikwazo havitoshi wangeomba kabisa nafasi Kenya ya kuweka manuari yao waje watupige tu.
 
Haijalishi cha msingi Makaburu watoke, mi naona kama vikwazo havitoshi wangeomba kabisa nafasi Kenya ya kuweka manuari yao waje watupige tu.
Umasikini unakusumbua. Umekosa michongo ya hela unaona bora umwage ugali wote wakose ikiwemo vita.

Nimefanya kazi na makampuni binafsi ambapo nimeweza kusafiri kwenye nchi kama Sudan na Somalia.

Ombea vitu vyote, kasoro vita aisee. Hiyo kitu acha kabisaa.
 
Wazungu wakati mwengine kama matahira flani ivi. Wanaona kwenda ulaya ni deal. Walitaka nchi hii iwe na kiongozi mkuu mtembeza bakuli ulaya. Eti kuwekewa vikwazo kwenda ulaya!!! Kicheko .com
 
Weee unasema De Clark, wakati wa Voster na Botha ulikuwepo?
Siwezi kuzungumzia ambao sikuwepo ndiyo maana back then in Cape Town during De Clark era na mzee baba wa Bongo leo hawana tofauti kwenye kubinya wanaowapinga kisiasa,kaburu(mbaguzi) ni kaburu tu regardless his/her colour.
 
Jitu limejifungia ndani linakoroma na mafaili hii habari haliwezi shituka.
 
Kuwawekea vikwazo sidhani kama ni suluhu maana mda mwingu wako humu. Nadhani kikwazo kingine zaidi
huwa vinaanza taratibu mkishuoaza shingo vinawekwa vizito zaidi.

hebu fikiria wakisema nchi wanshirika wa usa uk n.k wasitishe maramoja kutuuzia mafuta ya petrol na wasiingize dawa zozote za arv au za magonjwa mengine hali itakuwaje?
 
Wafungiwe tu tena hasa huyo makonda anavyopenda kwenda marekani ndo ishakula kwake hivyo
 
Back
Top Bottom