Tetesi: Baadhi ya viongozi kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwenda Ulaya na Marekani

Hilo liko wazi MBONA tangu kitambo wakolomije ulaya na USA wataionea YouTube forever,wakajaribu viza kama watapewa.
 
Daaa nchi imegawanyika, watu chrismas wataenda mazabauni, uki kina Mbowe ambao hawan hatia wanasota Rumande
 
Sisi walai Mihogo wa vijijini atutoathirika kama nyie wa mjini mtegeao dfp
Hiyo itakuwa ni nafuu kuliko trade embago na kusitishiwa misaada na mikopo kwani hao hata wasipoenda siyo shida sana kwakuwa rais mwenyewe haendi
 
Ukiwa upinzani wa ndani wa nje unainuka.kweli nguvu mwisho SHAMBA mjini akili.Kagame na m7 na uticha wao Lkn wanajua kucheza na akili za weupe,
 
Kuwawekea vikwazo sidhani kama ni suluhu maana mda mwingu wako humu. Nadhani kikwazo kingine zaidi
 
Makamanda endeleeni kujifariji
 
No vyema na tazama yafaa sana kujiuliza yalianzaje haya
 
Ukiwa upinzani wa ndani wa nje unainuka.kweli nguvu mwisho SHAMBA mjini akili.Kagame na m7 na uticha wao Lkn wanajua kucheza na akili za weupe,
Umeona
 
tanzania sweetheart ndani ....
kkkkk !
sijui yule mratibu wa utekaji, mhamiaji kutoka rwanda yumo ?
 
Ukibaguliwa unatafuta rafiki, ukibaguliwa na ndg was ndani basi mtu wa nje (adui) anakuwa rafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…