Tetesi: Baadhi ya viongozi kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwenda Ulaya na Marekani

ndo kilichokuwa kimempeleka membe ulaya,safari zake za nje kimya kimya hazikomi,kweli tamaa ya madaraka ni mbaya sana.
yeye ndie anaweka vikwazo? yeye ndie alianzisha operation za kina konki? yeye ndie aliyepayuka jukwaani kuwa hasomeshi wenye ujauzito? inamaana usa uk hana wawakilishi huku wanao ona hali inavyo endelea?
 
Walaa mwenzako nipo vizuri tu, sema haki zinapominywa na kikundi cha watu wachache wakiwa wananeemeka, hata uwe na maisha mazuri vipi ni kazi bure. Tumekosea sana kama Taifa mpaka tumefikia hatua hii braza anazingua sana na anatumia nguvu kubwa kuonekana hakosei, ,kingine ni ego, kingine ni mkoloni na mengine mengi.......
 
Mungu huwa anaponya kea sharti moja: Mwondoeni mwovu Kati yenu ili apate kuwaponya.
 
Hekima iishinde ujeuri. Hakuna aliyewahi kuwazidi akili western countries. Hata Mwl amekufa akijuwa jeuri yao.


Mwalimu alizipinga Brittonwood institutions kama World Bank na IMF,lakini as if he had any choice.Nchi imetoka vitani na kibubu hakisomi.Hapo lazima utumie busara tu kwamba maslahi ya nchi ni makubwa kuliko jeuri yako.

Sasa huyu alipoanza kuwasemea mbovu kwenye majukwaa walikuwa wanamzoom tu.Mungu atuepushie mbali tusiwe Zimbabwe mpya.
 
Safi sana, naona akili itakuja
 
Uchumi utainuka hata usipo piga watu risasi.
 
Kumbe na wewe huna akili!
Ambaye hana akili ni yule aliyeshirikiana na kaka yake kuuza gesi na kuwapiga mabomu ndugu zake wa kusini afu leo anajifanya kwenda kuzungusha bakuri,na kuomba msaada kwa wazungu wa kumuingiza ikulu.https://jamii.app/JFUserGuide off idiot tanzanians.
 
kwani safari za nje zina tija?

ni kweli hazina tija safari za Ulaya, lakini kwao binafsi zina tija sana, wanaenda kutibiwa kwa kodi zetu au binafsi, wanapeleka hawara zao kujificha nao huko, wanahudhuria graduation za watoto wao, wanaenda kufuatilia bank account zao huko, wanapata vikazi vya kimataifa wakisha staafu, wanaenda shopping, wanaalikwa kwenye vi forum vya uongo na kweli kuzungumzia walivyotumia misaada ya vyandarua...

wataumia sana wakiwekewa vikwazo, kifupi wasingependa majina ya familia zao yachafuke huko nje...
 
Ambaye hana akili ni yule aliyeshirikiana na kaka yake kuuza gesi na kuwapiga mabomu ndugu zake wa kusini afu leo anajifanya kwenda kuzungusha bakuri,na kuomba msaada kwa wazungu wa kumuingiza ikulu.**** off idiot tanzanians.
Gesi ikauzwa huku viuno vikikatwa kushangilia ukuu wa kijani!.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…