Baadhi ya Viongozi wa BAWACHA waliofika Ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe waanza kukamatwa

Hilo gari limechakaa hakuna mfanowe
 
Mimi huwa najiulizaga sana,Jamii forum huwa wanatumia vigezo gani ku-verify user wake manake verified users wanaandikaga vitu vya ajabu ajabu mpaka unajikuta unaanza kuwazia mental state ya muhusika ipoje kiujumla
Ni hivi ndugu yangu, wakati wa mwendazake watu tuliogopa kusema, kuandika etc. Hivyo ikafanya wengi wa opt kuwa na ID fake kama za kwetu hizi. Walioamua kuwa verified users ilibidi uhuru wa mawazo na ukweli wao wauweke kwapani au waufungie chooni. Matokeo yke ni kuandika takataka maana akiandika ukweli anapotezwa (ingawa sasa Samia anakwenda kwa Jiwe, kuua, kupoteza, kubambika kesi, kodi za dhuluma, etc etc.
 
Maandamano yana kibali? Hivi mnapoandamana kumpokea Zuchu huwa mna kibali?
Tofautisha kwenda kumpokea mtu na maandamano.

Mara nyingi mashabiki wa mpira wameenda JKNIA kupokea wachezaji wao na siyo tatizo kwakua hayo siyo maandamano.

Maandamano ni mkusanyiko unaofanywa ili kufikisha ujumbe. Kuandamana ni miongoni mwa haki za kizazi cha kwanza cha haki za binadamu hivyo imehakikishiwa kikatiba.

Lakini ikatokea watu tunaandamana kila siku hilo litakua tatizo ndiyo maana serikali nyingi hubuni clawback clause ya kutunga sheria ambazo zitafanya kuexercise hii haki kuwe kugumu mfano ili uandamane unahitaji kibali, inamaanisha kwamba kibali kisipotoka na ukaandamana utahesabiwa umevunja sheria.
 
Chadema bhana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ em wakachanjwe hukooooooo
Unacheka cheka mtoto wa kiume ushakuwa shog@ nini? Maana unapenda kucheka cheka sana, mtoto wa kiume hacheki hovyo hovyo unless una ushog@ ndani yako, halafu eti mpare, we ni mat@ko.
Chanjo kaileta yule bibi yenu mwenye macho mlegezo mmeanza kufarakana ninyi wenyewe hapo lumumba
 
Nani alikuambia kwenda ubalozini kunahitaji kibali ?
Kumbe wewe ni mjinga kabisa, unaulizwa kama walikuwa na kibali cha maandamano alafu wewe unajibu swala la kwenda ubalozini, kwamba walikuwa katika pitapita zao huko ubalozini au?
 

Police wanachemka sana! Wanaelekea kuharibu, Kuna wakati Mungu alifanya moyo wa Farao mgumu ili amchape, sasa naelewa kwa nini CCM hawawezi tumia akili tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…