Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Haya malalamiko yameanza 1995, 26 years now, ni kulalamika kila siku, nini kinafanyika zaidi ya malalamiko na kuswekwa rumande kwa miaka 26?Vyombo vya dola au vyombo vya majizi ya kura? Ni wendawazimu kutii mamlaka iliyo madarakani kwa wizi wa kura, huku ikikupora haki yako ya kukusanyika.