EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Huyu dada ni jasiri kuliko hata mwendakuzimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema huyu mama. Maana ndiye anayewatuma. Huyu mzanzibari huyu!Hawa polisi sasa watamkamata kila mtu kama vichaa.
Kwa nini uhitaji kibali?Ukienda kwa kuandamana utahitaji kibali, naona BAWACHA mnataka kumbipu Rais Samia, akiwapigia msimlaumu🤣
Mnaomba katiba mpya ilihali iliyopo hamjaisoma na kuielewa,Sasa hilo ni swali la kuuliza mbele ya watu wanaojielewa?Maandamano yana kibali? Hivi mnapoandamana kumpokea Zuchu huwa mna kibali?
Wewe ndio thibitisha kama yalikuwa na kibali, sio mimi.Mnaomba katiba mpya ilihali iliyopo hamjaisoma na kuielewa,Sasa hilo ni swali la kuuliza mbele ya watu wanaojielewa?
Haya thibitisha kwamba yale mapokezi ya zuchu,hayakuwa na kibali.
Kamata tu hawa pumbafu. Wanafikiri tanzania ni koloni la marekani. Jinga sanaMwenyekiti wa Bawacha Temeke , Neema Mwakipesile anadaiwa kuchukuliwa na Polisi usiku wa manane, kwa kinachodaiwa tuhuma za kufika ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe akishirikiana na akina mama wengine wa Chadema .
Bado haijafahamika kama ataunganishwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe au La
View attachment 1872428
Kama yasingekuwa na kibali, nadhani walioyaratibu wangekamatwa kama hao walioratibu ya kwenda ubalozini, kwakua haikutokea hivyo basi yalikuwa na kibali.Wewe ndio thibitisha kama yalikuwa na kibali, sio mimi.
Nyie Chadema hebu kachanjweni corona huko, unaenda Ubalozi wa Marekani kudai gaidi aachiwe, umeambiwa Tanzania inatawaliwa na Marekani? Hii ni nchi huru tunaamua mambo yetu wenyewe kulingana na sheria zetuMwenyekiti wa Bawacha Temeke , Neema Mwakipesile anadaiwa kuchukuliwa na Polisi usiku wa manane, kwa kinachodaiwa tuhuma za kufika ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe akishirikiana na akina mama wengine wa Chadema .
Bado haijafahamika kama ataunganishwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe au La
View attachment 1872428
Nchi inatawalika na itaendelea kutawalika hakuna wa kututisha kwa lolote bali hayo ni maneno yenu ya kila siku. Vipi mama bado anaupiga mwingi?Hii nchi haitatawalika
Weka ushahidi wa hayo unayosema. Mbona ccm wanafanya mikutano bila kukamatwa lakini chadema wanakamatwa. Kabla hujajibu hii comment tumia muda kufikiria maana ina ujumbe umejificha ndani yake.Kama yasingekuwa na kibali, nadhani walioyaratibu wangekamatwa kama hao walioratibu ya kwenda ubalozini, kwakua haikutokea hivyo basi yalikuwa na kibali.
Ila kama wewe unahisi hayakuwa na kibali,unaweza kuthibitisha hapa Sasa.
Baada ya kuona nchi haitawaliki imeshindikana sasa ni mwendo wa chanjo haipewiChadema bhana 😂😂😂 em wakachanjwe hukooooooo
Walipewa kibali cha maandamano ? Makosa mengine ni ya kujitafutia
Siasa za kukwaruzana na vyombo vya dola ili kupata kiki kwa wananchi na jumuiya ya kimataifa zimepitwa na wakati, watu hawajifunzi
Lazima uwe MNAFIKI na kujipendekeza sanaUkishakuwa verified user unakuwa takataka maana huwezi kusema ukweli wako!