Baadhi ya Viongozi wa BAWACHA waliofika Ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe waanza kukamatwa

Baadhi ya Viongozi wa BAWACHA waliofika Ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe waanza kukamatwa

Lissu, alisema kiongozi yoyote akikamatwa na polisi hawatahangaika kumtoa polisi wakitaka wakae nae na wamfanye watakalo! Na huo ndiyo msimamo wa chama.
 
Serikali ina ushetania Sana , ila yanaenda kuisha ngoja tumalizie mfungo kwanza
Mwenyekiti wa Bawacha Temeke , Neema Mwakipesile anadaiwa kuchukuliwa na Polisi usiku wa manane, kwa kinachodaiwa tuhuma za kufika ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe akishirikiana na akina mama wengine wa CHADEMA.

Bado haijafahamika kama ataunganishwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe au la.

View attachment 1872428
 
Kisheria ubalozini ni nchi nyingine bale ni marekani hawawezi kuwastaki kwa chochote
Walifikaje ubalozini ? Mipango ya kuandamana kinyume na sheria waliifanyia wapi ? Wanaweza "kukamatwa" na kuchunguzwa kwa kipindi kirefu jinsi walivyo organize hayo maandamano.
 
Weweee! Kuna mbwa yeyote wa Chadema wa kuifanya nchi hii isitawalike? Na ajaribu tuone!!!
Mtoto wa mbwa ni mbwa Yaani mbwa wewe umeogopa kongamano tu kule mwanza ukatuma Polisiccm kuwabambikia kesi za ugaidi, vipi ukisikia vijana wameamua kufa kwa kupigania katiba si utapeleka majeshi ya kukodi kabsa tokea china
 
Yeye ndiyo kaanza kubeep kwa kumbambikia kesi mbowe sasa kapigiwa apokee kupitia ubalozi wa marekani
Walioanza kubeep wanajulikana, na wamejibiwa, mpaka leo wamefanya kongamano wapi ? Agenda ya katiba mpya imehamia kwenye ugaidi
 
Sasa ndiyo nimeamini hii nchi ni rahisi sana kuitawala..........yaani wabongo wakijifanya wanatoka mbele we unawachapa moto wawili watatu...then wote wanakimbia kujificha makwao..shughuli imeisha
Huo ujinga wa kuua wandamanaji wa Amani ambao hawana siraha unaigharimu Polisiccm kwa kuandamwa na taasisi za haki za binadamu Duniani kote, acha roho mbaya kwa mbowe kubambikiwa kesi za ugaidi unanufaika nini?
 
Walioanza kubeep wanajulikana, na wamejibiwa, mpaka leo wamefanya kongamano wapi ? Agenda ya katiba mpya imehamia kwenye ugaidi
Sasa kuhamia kwenye ugaidi wamefanikiwa nini? Mbona wapo busy kuendelea kukata watu hovyo hovyo? Kama wapo sahihi si waache wananchi ndiyo waamue ukweli
 
Maandamano ya kudai haki? Akina Mandela wangekuwa wanasubiri vibali mpaka leo wangekuwa wanatawaliwa na makaburu. Ukaombe kibali cha kudai haki kwa majizi ya kura!?
Maandamano na makongamano yangekuwa na maana zaidi kama wananchi wangekuwa wameshiriki, ikiwezekana hata wao ndio wayaanzishe. Vinginevyo ni sarakasi za kisiasa tu...unafikiri Marekani ana interest kubwa na katiba mpya kwa ajili ya Tanzania ?
 
Sasa kuhamia kwenye ugaidi wamefanikiwa nini? Mbona wapo busy kuendelea kukata watu hovyo hovyo? Kama wapo sahihi si waache wananchi ndiyo waamue ukweli
Kongamano la mwisho la katiba mpya limefanyikia wapi ? Watu wataendelea kukamatwa kadri ya "makosa" watakayokuwa wanafanya
 
Waache,hawajielewi.USA ipokee maandamano ya mtu anayesuport ugaidi?
(Hidden USA diplomas) subiri Siku zijazo ripoti itaibukia kwingine ikituvua nguo Tz
Labda USA yako mwenyewe unayovutia Bangi hapo gheto ndiyo utaamini kuwa mbowe ni gaidi, lakini USA walipokwenda ubalozini wanajua fika kuwa mbowe kubambikiwa kesi ya ugaidi na ndiyo waliandaa na kuyabariki hayo maandamano ya Amani kukataa udikiteta uonevu wa Serikaliccm kwa wapinzani
 
Walifikaje ubalozini ? Mipango ya kuandamana kinyume na sheria waliifanyia wapi ? Wanaweza "kukamatwa" na kuchunguzwa kwa kipindi kirefu jinsi walivyo organize hayo maandamano.p pale
unajua international law wewe pale ni marekani , eneo la balozi ni ardhi ya hiyo nchi, unawezaje kuandamana marekani ushtakiwe Tanzania
 
Maandamano na makongamano yangekuwa na maana zaidi kama wananchi wangekuwa wameshiriki, ikiwezekana hata wao ndio wayaanzishe. Vinginevyo ni sarakasi za kisiasa tu...unafikiri Marekani ana interest kubwa na katiba mpya kwa ajili ya Tanzania ?
Kongamano lilikuwa kwa ajili ya wananchi wote bila kujali itikadi na Polisiccm walianza mikwara kuwatishia wananchi kuwabambikia kesi unategemea nini hapo? Tambua sasa kila mwananchi kajua ukidai katiba mpya unabambikiwa kesi ya ugaidi
 
Mwenyekiti wa Bawacha Temeke , Neema Mwakipesile anadaiwa kuchukuliwa na Polisi usiku wa manane, kwa kinachodaiwa tuhuma za kufika ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe akishirikiana na akina mama wengine wa CHADEMA.

Bado haijafahamika kama ataunganishwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe au la.

View attachment 1872428
Wacha wafundishwe adabu. Wanafikiri nchi yetu bado ni koloni la wazungu. Eti wanaenda kutushitaki kwenye ubalozi wa amerika kwa kukamata jitu tunalolishuku ni gaidi la nchi yetu lililokuwa na mipango ya kuangamiza viongozi wakuu wa nchi yetu. Eti yanaenda kugalagala pale ubalozi yakiwa wamevaa ....... ! Jitu lilishafikishwa mahakamani. Haya manamake ya chadema yanafikiri Amerika ina mamlaka ya kuingilia mhimili wetu wa mahakama. Tusipoyashikisha adabu yatakuwa yanaenda kuwashitaki kwenye balozi za wazungu hata waume zao wanapoacha kuyatimizia yanachotaka au yanapowafumania na nyumba ndogo!
 
unajua international law wewe pale ni marekani , eneo la balozi ni ardhi ya hiyo nchi, unawezaje kuandamana marekani ushtakiwe Tanzania
Japo Polisiccm wataendelea kuwandama kuwaonea kuwabambikia kesi wapinzani lakini tayari Serikaliccm imepata Doa kimataifa
 
Mwenyekiti wa Bawacha Temeke , Neema Mwakipesile anadaiwa kuchukuliwa na Polisi usiku wa manane, kwa kinachodaiwa tuhuma za kufika ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe akishirikiana na akina mama wengine wa CHADEMA.

Bado haijafahamika kama ataunganishwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe au la.

View attachment 1872428
wanatakiwa kuishi wakijua serikali ipo, huo ujinga wa kuiga mambo ya kwenye tv huko ulaya wakati ni washamba wala ugali tu wa hapa bongo, wawakomeshe kabisa.
 
Japo Polisiccm wataendelea kuwandama kuwaonea kuwabambikia kesi wapinzani lakini tayari Serikaliccm imepata Doa kimataifa
usitegemee hata siku moja ccm watatarajia kupendwa na wazungu, wanaishi wakijua hivyo na hawahitaji kupendwa na wazungu. siku zote wazungu wanatamani ccm iondoke ndio maana hata katika criticism zao zote huwa wapo upande wa cdm asilimia mia moja, wapo biased kabisa, hivyo as long as ccm ndio imeshika dola, ninyi cdm ishini mkijua kuwa Tanzania sio koloni la wazungu, na wazungu hawana mamlaka kuingilia mambo yetu, hasa mahakama. kama marekani mjanja mwambieni aamrishe mahakama zetu zimuachie DJ.
 
wasipo
Siasa za kukwaruzana na vyombo vya dola ili kupata kiki kwa wananchi na jumuiya ya kimataifa zimepitwa na wakati, watu hawajifunzi
wasipojifunza wanatakiwa kufundishwa kwa nguvu, icho kimama cha temeke na kile cha njombe, wanaamini wazungu ndio watu wema kwao kuliko hata watanzania wenzao.
 
Mwenyekiti wa Bawacha Temeke , Neema Mwakipesile anadaiwa kuchukuliwa na Polisi usiku wa manane, kwa kinachodaiwa tuhuma za kufika ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe akishirikiana na akina mama wengine wa CHADEMA.

Bado haijafahamika kama ataunganishwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe au la.

View attachment 1872428
serious, apelekwe tu segerea ili ajifunze.
 
Back
Top Bottom