Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyekiti wa Bawacha Temeke , Neema Mwakipesile anadaiwa kuchukuliwa na Polisi usiku wa manane, kwa kinachodaiwa tuhuma za kufika ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe akishirikiana na akina mama wengine wa CHADEMA.
Bado haijafahamika kama ataunganishwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe au la.
View attachment 1872428
Walifikaje ubalozini ? Mipango ya kuandamana kinyume na sheria waliifanyia wapi ? Wanaweza "kukamatwa" na kuchunguzwa kwa kipindi kirefu jinsi walivyo organize hayo maandamano.Kisheria ubalozini ni nchi nyingine bale ni marekani hawawezi kuwastaki kwa chochote
Mtoto wa mbwa ni mbwa Yaani mbwa wewe umeogopa kongamano tu kule mwanza ukatuma Polisiccm kuwabambikia kesi za ugaidi, vipi ukisikia vijana wameamua kufa kwa kupigania katiba si utapeleka majeshi ya kukodi kabsa tokea chinaWeweee! Kuna mbwa yeyote wa Chadema wa kuifanya nchi hii isitawalike? Na ajaribu tuone!!!
Walioanza kubeep wanajulikana, na wamejibiwa, mpaka leo wamefanya kongamano wapi ? Agenda ya katiba mpya imehamia kwenye ugaidiYeye ndiyo kaanza kubeep kwa kumbambikia kesi mbowe sasa kapigiwa apokee kupitia ubalozi wa marekani
Huo ujinga wa kuua wandamanaji wa Amani ambao hawana siraha unaigharimu Polisiccm kwa kuandamwa na taasisi za haki za binadamu Duniani kote, acha roho mbaya kwa mbowe kubambikiwa kesi za ugaidi unanufaika nini?Sasa ndiyo nimeamini hii nchi ni rahisi sana kuitawala..........yaani wabongo wakijifanya wanatoka mbele we unawachapa moto wawili watatu...then wote wanakimbia kujificha makwao..shughuli imeisha
Sasa kuhamia kwenye ugaidi wamefanikiwa nini? Mbona wapo busy kuendelea kukata watu hovyo hovyo? Kama wapo sahihi si waache wananchi ndiyo waamue ukweliWalioanza kubeep wanajulikana, na wamejibiwa, mpaka leo wamefanya kongamano wapi ? Agenda ya katiba mpya imehamia kwenye ugaidi
Maandamano na makongamano yangekuwa na maana zaidi kama wananchi wangekuwa wameshiriki, ikiwezekana hata wao ndio wayaanzishe. Vinginevyo ni sarakasi za kisiasa tu...unafikiri Marekani ana interest kubwa na katiba mpya kwa ajili ya Tanzania ?Maandamano ya kudai haki? Akina Mandela wangekuwa wanasubiri vibali mpaka leo wangekuwa wanatawaliwa na makaburu. Ukaombe kibali cha kudai haki kwa majizi ya kura!?
Kongamano la mwisho la katiba mpya limefanyikia wapi ? Watu wataendelea kukamatwa kadri ya "makosa" watakayokuwa wanafanyaSasa kuhamia kwenye ugaidi wamefanikiwa nini? Mbona wapo busy kuendelea kukata watu hovyo hovyo? Kama wapo sahihi si waache wananchi ndiyo waamue ukweli
Labda USA yako mwenyewe unayovutia Bangi hapo gheto ndiyo utaamini kuwa mbowe ni gaidi, lakini USA walipokwenda ubalozini wanajua fika kuwa mbowe kubambikiwa kesi ya ugaidi na ndiyo waliandaa na kuyabariki hayo maandamano ya Amani kukataa udikiteta uonevu wa Serikaliccm kwa wapinzaniWaache,hawajielewi.USA ipokee maandamano ya mtu anayesuport ugaidi?
(Hidden USA diplomas) subiri Siku zijazo ripoti itaibukia kwingine ikituvua nguo Tz
unajua international law wewe pale ni marekani , eneo la balozi ni ardhi ya hiyo nchi, unawezaje kuandamana marekani ushtakiwe TanzaniaWalifikaje ubalozini ? Mipango ya kuandamana kinyume na sheria waliifanyia wapi ? Wanaweza "kukamatwa" na kuchunguzwa kwa kipindi kirefu jinsi walivyo organize hayo maandamano.p pale
Kongamano lilikuwa kwa ajili ya wananchi wote bila kujali itikadi na Polisiccm walianza mikwara kuwatishia wananchi kuwabambikia kesi unategemea nini hapo? Tambua sasa kila mwananchi kajua ukidai katiba mpya unabambikiwa kesi ya ugaidiMaandamano na makongamano yangekuwa na maana zaidi kama wananchi wangekuwa wameshiriki, ikiwezekana hata wao ndio wayaanzishe. Vinginevyo ni sarakasi za kisiasa tu...unafikiri Marekani ana interest kubwa na katiba mpya kwa ajili ya Tanzania ?
Wacha wafundishwe adabu. Wanafikiri nchi yetu bado ni koloni la wazungu. Eti wanaenda kutushitaki kwenye ubalozi wa amerika kwa kukamata jitu tunalolishuku ni gaidi la nchi yetu lililokuwa na mipango ya kuangamiza viongozi wakuu wa nchi yetu. Eti yanaenda kugalagala pale ubalozi yakiwa wamevaa ....... ! Jitu lilishafikishwa mahakamani. Haya manamake ya chadema yanafikiri Amerika ina mamlaka ya kuingilia mhimili wetu wa mahakama. Tusipoyashikisha adabu yatakuwa yanaenda kuwashitaki kwenye balozi za wazungu hata waume zao wanapoacha kuyatimizia yanachotaka au yanapowafumania na nyumba ndogo!Mwenyekiti wa Bawacha Temeke , Neema Mwakipesile anadaiwa kuchukuliwa na Polisi usiku wa manane, kwa kinachodaiwa tuhuma za kufika ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe akishirikiana na akina mama wengine wa CHADEMA.
Bado haijafahamika kama ataunganishwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe au la.
View attachment 1872428
Japo Polisiccm wataendelea kuwandama kuwaonea kuwabambikia kesi wapinzani lakini tayari Serikaliccm imepata Doa kimataifaunajua international law wewe pale ni marekani , eneo la balozi ni ardhi ya hiyo nchi, unawezaje kuandamana marekani ushtakiwe Tanzania
wanatakiwa kuishi wakijua serikali ipo, huo ujinga wa kuiga mambo ya kwenye tv huko ulaya wakati ni washamba wala ugali tu wa hapa bongo, wawakomeshe kabisa.Mwenyekiti wa Bawacha Temeke , Neema Mwakipesile anadaiwa kuchukuliwa na Polisi usiku wa manane, kwa kinachodaiwa tuhuma za kufika ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe akishirikiana na akina mama wengine wa CHADEMA.
Bado haijafahamika kama ataunganishwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe au la.
View attachment 1872428
usitegemee hata siku moja ccm watatarajia kupendwa na wazungu, wanaishi wakijua hivyo na hawahitaji kupendwa na wazungu. siku zote wazungu wanatamani ccm iondoke ndio maana hata katika criticism zao zote huwa wapo upande wa cdm asilimia mia moja, wapo biased kabisa, hivyo as long as ccm ndio imeshika dola, ninyi cdm ishini mkijua kuwa Tanzania sio koloni la wazungu, na wazungu hawana mamlaka kuingilia mambo yetu, hasa mahakama. kama marekani mjanja mwambieni aamrishe mahakama zetu zimuachie DJ.Japo Polisiccm wataendelea kuwandama kuwaonea kuwabambikia kesi wapinzani lakini tayari Serikaliccm imepata Doa kimataifa
wasipojifunza wanatakiwa kufundishwa kwa nguvu, icho kimama cha temeke na kile cha njombe, wanaamini wazungu ndio watu wema kwao kuliko hata watanzania wenzao.Siasa za kukwaruzana na vyombo vya dola ili kupata kiki kwa wananchi na jumuiya ya kimataifa zimepitwa na wakati, watu hawajifunzi
serious, apelekwe tu segerea ili ajifunze.Mwenyekiti wa Bawacha Temeke , Neema Mwakipesile anadaiwa kuchukuliwa na Polisi usiku wa manane, kwa kinachodaiwa tuhuma za kufika ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe akishirikiana na akina mama wengine wa CHADEMA.
Bado haijafahamika kama ataunganishwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe au la.
View attachment 1872428
Nani huyo anadai?Mwenyekiti wa Bawacha Temeke , Neema Mwakipesile anadaiwa...
Kweli kabsaNa hasa verified user wa JF