Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kila mwenye kujitambua anajua rais ni mzima na anaendelea vizuriWapinzani wanayajua waliyopitia waache mkuu infact rais ni mzima hakuna baya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mwenye kujitambua anajua rais ni mzima na anaendelea vizuriWapinzani wanayajua waliyopitia waache mkuu infact rais ni mzima hakuna baya
kwanza faham majukumu ya interpol. hawafanyi kaz kwa mihemko ya kisiasa . pili hawafanyi kazi kwa interest za mtu fulani.Interpol wafanye kazi ili wahalifu washughulikiwe.
Mkuu iko ivi nchi tumekubali kutawaliwa na watu wachache wenye fikra finu kwa maana nyingine ni wapumbavu, sasa wanachokifanya ni kufikiria kwamba kila mTZ, ni mpumbavu kama wslivyo wao.Wahenga walisema "ukitaka kujua umuhimu wa makalio, jaribu kukalia kichwa siku moja" ila MATAGA hamjui umuhimu wa kichwa(ubongo) na mnafikiri kwa makalio na matumbo kila siku....
Asante lakini Nia na lengo langu la kufikisha ujumbe limefanikiwa.Pumbavu wewe! Hatua gani hizo ambazo mamlaka unataka zichukue? Hakuna hata chombo kimoja kilichoandika directly kuwa inathibitisha kuwa magufuli ana covid. Vyombo vyote wanasema kuwa kuna rumour au assumption kuwa magufuli ana covid. As long as hawajasema kuwa wana confirmed kuwa jiwe anaumwa hakuna yeyote anaeweza kufanya lelote lile. infact hata wakiandika kuwa wana hakika kabisa kuwa magufuli ana covid, serikali ya tanzania itafanya nini? kuwafungia? Just kwa sababu nchini kwenu hakuna uhuru wa kuandika usitegemee, ubabe wenu unaweza kuvuka mipaka ya nchi, fool!!!!
Habari za kuumwa tunazipata toka kwa majirani bana wanasema wao ndio waliomsitiri,ndio maana nikatoa kitendawili wavichukuliehatua hatua vyombo vya jirani sio kuonea wapinzani na vyombo vya ndani.Ila wapinzani mnapata faida gani kwa kumzushia rais wetu kuumwa au kifo ?
Hapana sikuiandika Mimi.Je, Kama huyu aliyeleta hii mada ndiye kaiandika huko IG?