Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda mwezi, or thereabouts..Muda gani unaona unafaa rais kuwa haonekani? Ukizidi hapo utaona kuna tatizo?
Wiki mbili? Mwezi mmoja? Miezi sita? Mwaka mmoja? Miaka miwili? Miaka mitano?
Na katika muda huo, utajuaje rais yupo mzima anaendesha nchi na hajafa/ hajauawa?
Ndio inakuwaje hiyo!?Ameshafika kwa Ponjori akiwa comatose.
Kama anaumwa na hawataki kumuonesha kwamba Superman wao ni mtu tu anayeweza kuumwa?Labda mwezi, or thereabouts..
Kama serikali bado ina function, na haijatangazwa kuwa amekufa, basi nina kila sababu za kuamini yuko hai.
Kwa sababu, kama amekufa, kwa nini wasitangaze? Wanaogopa nini? Wanamwogopa mtu aliyekufa?
Ungemuuliza aliyeandikwa amekosana nao nini!?Swali lamsingi kwanini wamwandike rais wetu vibaya? Ni chuki? Na kwanini wamchukie? Amekosa nini?
🤣Kama anaumwa na hawataki kumuonesha kwamba Superman wao ni mtu tu anayeweza kuumwa?
Hiyo ya ‘ wamuonyeshe’ inachekesha [emoji1787][emoji1787]
Hahahaaaa.Atolewe kwenye TV eti Huyu hapa Jamani watu sijui wakoje [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji38][emoji38]
Kama anaumwa na hawataki kumuonesha kwamba Superman wao ni mtu tu anayeweza kuumwa?
Kwani wapi nimeandika kuumwa ni ajabu?Wewe kuumwa unaona ni ajabu kwani !?[emoji3] unaweza kuumwa hata malaria na dr akashauri upumzike unaweza kuwa hata na stress na dr akashauri upumzike kipi cha ajabu sasa hapo pia waje watangaze [emoji38][emoji38][emoji38][emoji1430][emoji1430][emoji1430] aiseeh mnachekesha sana..
Wanaonichosha zaidi ni hao wanaowaza eti kafa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] hivi mtu naweza kuficha kifo ili iweje Akili hizi aiseeh
Hivi kweli hatuna mambo ya msingi kabisa ya kimaendeleo ya kuyajadili? Kwa ujumla ni Tundu Lisu ndiye anakuwa quoted na BBC , Reuters na wengineo. Kwa hiyo Lisu ndiye anayeleta uzushi. Nadhani ndo maana hata Magufuli na Serikali wamekaa kimyaaaa, ili waje wampe Lisu za usoni kuwa mnaona anavyoiombea Tanzania mabaya, anasambaza uwongo badala ya agenda au hoja nzito za kimaendeleo?? Ni mara nyingi sana muda unapita zaidi hata ya mwezi Magufuli au Marais wengine wanakuwa hawajasikika au kuonekana hadharani, wala siyo issue ya wiki mbili tu. Sasa this time kwa vile Lisu kaanzisha uzushi kuwa Magufuli anaumwa covid-19 ndiyo kinacholeta shida kutokana na msimamo wa Magufuli kuhusu corona. Hata kama ni kweli Magufuli ana corona, atapona halafu atakuja na kusema alikuwa mzima alikuwa bize na kazi, kwa hiyo issue inawageukia Lisu na wafuasi wake kuwa walikuwa wazushi. Mimi naona Lisu na wapinzani wa CCM wanakuwaga hawajipangi sana kuja na hoja yenye mashiko ambayo ikijadiliwa itaonekana kweli walikuwa na jambo zito kwa manufaa ya Taifa, badala ya hizi petty issues kama umbea wa mitaani. Sasa hapa hoja ni nini hasa??Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki.
Mfano People Daily online hasa la leo.
Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
Wewe unaona muda gani ni kikomo cha rais kukaa bila kuonekana?Akikaa bila kuonekana zaidi ya hapo itakuwa si sawa.hata rais wa nchi sio kiranga.
kwamba atakurupuka alipo sababu watu wanamtafuta.
🤣
Wanaweza kumuonyesha bila ridhaa yake?
Presidents are entitled to some amount of privacy, too.
No?