Baadhi ya vyombo vya habari vya nchi jirani vinaeneza uongo, vichukuliwe hatua Kali

Baadhi ya vyombo vya habari vya nchi jirani vinaeneza uongo, vichukuliwe hatua Kali

Muda gani unaona unafaa rais kuwa haonekani? Ukizidi hapo utaona kuna tatizo?

Wiki mbili? Mwezi mmoja? Miezi sita? Mwaka mmoja? Miaka miwili? Miaka mitano?

Na katika muda huo, utajuaje rais yupo mzima anaendesha nchi na hajafa/ hajauawa?
Labda mwezi, or thereabouts..

Kama serikali bado ina function, na haijatangazwa kuwa amekufa, basi nina kila sababu za kuamini yuko hai.

Kwa sababu, kama amekufa, kwa nini wasitangaze? Wanaogopa nini? Wanamwogopa mtu aliyekufa?
 
Labda mwezi, or thereabouts..

Kama serikali bado ina function, na haijatangazwa kuwa amekufa, basi nina kila sababu za kuamini yuko hai.

Kwa sababu, kama amekufa, kwa nini wasitangaze? Wanaogopa nini? Wanamwogopa mtu aliyekufa?
Kama anaumwa na hawataki kumuonesha kwamba Superman wao ni mtu tu anayeweza kuumwa?
 
Kama anaumwa na hawataki kumuonesha kwamba Superman wao ni mtu tu anayeweza kuumwa?
🤣

Wanaweza kumuonyesha bila ridhaa yake?

Presidents are entitled to some amount of privacy, too.

No?
 
Kama anaumwa na hawataki kumuonesha kwamba Superman wao ni mtu tu anayeweza kuumwa?

Wewe kuumwa unaona ni ajabu kwani !?[emoji3] unaweza kuumwa hata malaria na dr akashauri upumzike unaweza kuwa hata na stress na dr akashauri upumzike kipi cha ajabu sasa hapo pia waje watangaze [emoji38][emoji38][emoji38][emoji1430][emoji1430][emoji1430] aiseeh mnachekesha sana..
Wanaonichosha zaidi ni hao wanaowaza eti kafa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] hivi mtu naweza kuficha kifo ili iweje Akili hizi aiseeh
 
Wewe kuumwa unaona ni ajabu kwani !?[emoji3] unaweza kuumwa hata malaria na dr akashauri upumzike unaweza kuwa hata na stress na dr akashauri upumzike kipi cha ajabu sasa hapo pia waje watangaze [emoji38][emoji38][emoji38][emoji1430][emoji1430][emoji1430] aiseeh mnachekesha sana..
Wanaonichosha zaidi ni hao wanaowaza eti kafa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] hivi mtu naweza kuficha kifo ili iweje Akili hizi aiseeh
Kwani wapi nimeandika kuumwa ni ajabu?

Unajua kusoma kwa ufahamu?
 
Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki.
Mfano People Daily online hasa la leo.

Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
Hivi kweli hatuna mambo ya msingi kabisa ya kimaendeleo ya kuyajadili? Kwa ujumla ni Tundu Lisu ndiye anakuwa quoted na BBC , Reuters na wengineo. Kwa hiyo Lisu ndiye anayeleta uzushi. Nadhani ndo maana hata Magufuli na Serikali wamekaa kimyaaaa, ili waje wampe Lisu za usoni kuwa mnaona anavyoiombea Tanzania mabaya, anasambaza uwongo badala ya agenda au hoja nzito za kimaendeleo?? Ni mara nyingi sana muda unapita zaidi hata ya mwezi Magufuli au Marais wengine wanakuwa hawajasikika au kuonekana hadharani, wala siyo issue ya wiki mbili tu. Sasa this time kwa vile Lisu kaanzisha uzushi kuwa Magufuli anaumwa covid-19 ndiyo kinacholeta shida kutokana na msimamo wa Magufuli kuhusu corona. Hata kama ni kweli Magufuli ana corona, atapona halafu atakuja na kusema alikuwa mzima alikuwa bize na kazi, kwa hiyo issue inawageukia Lisu na wafuasi wake kuwa walikuwa wazushi. Mimi naona Lisu na wapinzani wa CCM wanakuwaga hawajipangi sana kuja na hoja yenye mashiko ambayo ikijadiliwa itaonekana kweli walikuwa na jambo zito kwa manufaa ya Taifa, badala ya hizi petty issues kama umbea wa mitaani. Sasa hapa hoja ni nini hasa??
 
hata rais wa nchi sio kiranga.

kwamba atakurupuka alipo sababu watu wanamtafuta.
Wewe unaona muda gani ni kikomo cha rais kukaa bila kuonekana?Akikaa bila kuonekana zaidi ya hapo itakuwa si sawa.

Wiki mbili? Mwezi? Miezi sita? Mwaka mmoja? Miaka miwili? Miaka mitano?
 
Jamani kwani huko ikulu ndogo ya twitter nako pia hakuna taarifa za uhakika safari hii? Kama safari hii nako pia hazipo, ni kwa nini? Awamu ile ya kwanza JPM alipowahi ku-dissappear ghafla na kuzushiwa ugonjwa kwa mara ya kwanza, ikulu ndogo huko twitter ilisemaje? Maana sasa inabidi tuwe tunatumia na reasoning kwa kuangalia matukio yaliyopita. Na takaporudi, moto chini. Jamani tuyanyoosheni mapito yetu, tuache wizi. Hapendi wezi
 
Lakini hili suala ni rahisi sana. Baada ya huo uvumi kuanza muhusika angetoa kauli au wasaidizi wamuoneshe. Mbona akina Mrema na Mbowe baada ya uvumi walitoka hadharani na uvumi ukaishia hapo?
 

1615565776056.png

Zito Zuberi Kabwe alisema alisafirishwa SA na kupelekwa Germany ...... ....... fast forward Tundu A Lisu alisema ana marafiki zake kwenye hii Hospitali hapo juu wakati anatibiwa ambao walimuhakikishia kwamba JPM yupo taabani pale na mtungi wa oxygen ili aendelee kuishi .. .... ... ... ooops amepelekwa India in a hurry maana mambo sio mazuri.......... [Hao ndio Wapinzani wa Tanzania tena wanajinasibu wanawatumikia Watanzania walio wengi ili hali hata ujumbe wa nyumba kumi tu umewashinda.]
Wengi wenye kufikiria tu waliona ni uongo na porojo za kila siku zilizosheheni JF.
 
Ukiona viongozi tena mawazir mbaya zaidi na waziri mkuu wanajibu hoja kwa mipasho mara ooh raisi sio padule kwamba lazima aendeshe misa jpili mara ooh yy siyo mtangazaji wa itv huyu mkubwa nae anasema wanataka wamwone wapi kariakoo au manzese? if u can read between the lines unaeweza gundua kuna jambo lisilo sawa kwann hawaitishi press ili kuondoa huu uvumi na badala yake wanasubiri mawe yarushwe ndo wao wajitokeze tena ktk hali as if ni khadija kopa taarabuni?
 
Sawa kidoti umesomeka Kwa hiyo yuko wapi tuambie hata kama anapiga nyungu kule tocha.
 
🤣

Wanaweza kumuonyesha bila ridhaa yake?

Presidents are entitled to some amount of privacy, too.

No?

People who value privacy over transparency have no business being public servants, much less heads of state.

Presidents are entitled to a minimum modicum of privacy, but they are obligated to be transparent.

Matatizo mengine ni ya kujitakia.

Kwa mfano, kama anaumwa, Ikulu ingetoa taarifa fupi kwamba rais anaumwa, lakini hali yake inaendelea vizuri, nafikiri watu wastaarabu wote wasingetaka sana kumuona.

I am not a Magufuli fan, but my savoir-faire and sophisticated culture that avoids being a brusque philistine like the plague would have guided me to wish him well. I wanted him to be voted out, impeached etc, but death is not what I want for him.

Hizi habari za watu kutaka kumuona zinakuja baada ya viongozi wa serikali kusisitiza ni mzima wa afya.

Kwa watu wa national security, rais kukaa bila kuonekana muda mrefu is a risk, kwa sababu inawezekana watu wamemuua huko, wanasaini documents kwa jina lake, wanakwiba mahela BOT na kuyasafirisha nje.
 
Kwani huyu MAGU ni raisi wa nchi jirani pia?. Watz wakereketwa na wahafidhina lazima wakubali matokeo. Kuishi kiubabe basi tena.
 
Back
Top Bottom