Baadhi ya vyombo vya habari vya nchi jirani vinaeneza uongo, vichukuliwe hatua Kali

Falme hazifanyi kazi kama republic ambazo viongozi wanawajibika kwa raia
Rejea muongozo wa uendeshaji nchi za kifalme hasa Uingereza, uone namna gani familia ya kifalme inavyohusiana na uendeshaji wa serikali ulio chini ya waziri mkuu!!!
 
Bado huo utakuwa ni uhuni, kila siku uwe unaenda public kukanusha taarifa za wahuni
Wiki mbili ndiyo kila siku?

Unajua kuhesabu?

Wewe utaona sawa rais awe haonekani kwa muda gani, na zaidi ya hapo utaona kuna tatizo?

Mwezi mmoja? Miezi sita? Mwaka mmoja? Miaka mitano?
 
Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki.
Mfano People Daily online hasa la leo.

Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
Kutetea nini?
 
Ni sawa kabisa uko sahihi ndugu yangu! Au tuseme Mbowe na John Mrema, wakizushiwa kifo si unawaonyesha kuwa hawa hapa?
Mbowe na John Mrema sio heads of state.

Let's compare likes.

In any case, kukanusha uongo kwa kuonesha ukweli ni dawa nzuri ya uongo.

Sasa kwa nini serikali ya Tanzania haimuoneshi Magufuli?

Tutajuaje kwamba hajafa tayari?
 
Mtaondoka wengi sana kabla yake, muda wake huyo bado sana. Bado ana misheni kubwa muno mbele yake ambayo anatakiwa aikamilishe. Mubarikiwe na Bwana
 
Sijasema kwamba yeye ataondoka kabla yangu.

Kwanza ukiongea hivyo unajionesha wewe ni mtu wa mipasho usiyejua kulinganisha vitu. Huyu ni rais, habari za afya yake ni habari za kitaifa. Mimi si rais. Nikifa msiba wangu si wa kitaifa.Sasa unaanzaje kunilinganisha naye?

Hapo unajionesha kuwa wewe ni Babujinga.

Nimeuliza hivi.

Kama yupo na ni mzima, kwa nini inakuwa mgogoro sana kumuonesha huyu hapa mzima?
 
una maanisha leo au sio
Hapa watu wangekuwa wanatoa kauli kwa ku bet hela ingekuwa vizuri zaidi.

Waingerwmeza wanasema "Put your money where your mouth is".

Ingepunguza watu kubwabwaja ovyo.
 
Sijasema kwamba yeye ataondoka kabla yangu.

Kwanza ukiongea hivyo unajionesha wewe ni mtu wa mipasho usiyejua kulinganisha vitu. Huyu ni rais, habari za afya yake ni habari za kitaifa. Mimi si rais. Nikifa msiba wangu si wa kitaifa.Sasa unaanzaje kunilinganisha naye?

Hapo unajionesha kuwa wewe ni Babujinga.

Nimeuliza hivi.

Kama yupo na ni mzima, kwa nini inakuwa mgogoro sana kumuonesha huyu hapa mzima?
Hapana, mimi ni Babu Kubwa, siyo Babujinga. Huko niliwahi kuwepo miaka kadhaa nyuma lakini niliamua kuhama.
 
Hii nakumbuka buhari wa Nigeria nae alipewa habari kama hizi na serikali haikujibu mpaka wakasema alishakufa inafika mwezi katengenezwa mwengine
 
una maanisha leo au sio
Kuna ujumbe kutoka kwa waziri mkuu,fatilia utaelewa.
Japo jana kuna uzi mwingine ulifutwa wa kuhoji "yuko wapi waziri mkuu Majaliwa"
na wajuba wakaanza kucoment kwamba na yeye ana mzigo.
 
ujumbe huo nimeusikia ila sio msingi wa swali langu
 
Kuna ujumbe kutoka kwa waziri mkuu,fatilia utaelewa.
Japo jana kuna uzi mwingine ulifutwa wa kuhoji "yuko wapi waziri mkuu Majaliwa"
na wajuba wakaanza kucoment kwamba na yeye ana mzigo.
Kwa nini serikali haimalizi uvumi kwa kumuonesha rais akiwa mzima badala ya haya maneno matupu?

Maneno hata kama mtu kafa unaweza kusema mzima.
 
Wamuonyeshe ili iweje sasa [emoji3] mambo mengine bwana yanachekesha yes anaweza kua anaumwa lakini sio vya hivyo vinavyosemwa na ugonjwa ni Siri ya mgonjwa sio matangazo ya vifo na hata ukiwa Rais sio lazima kil mtu ajue eti unaumwa ili iweje?! Labda kaamua ku pumzika alikua anajisikia vibaya Ndio ije itangazwe?!
 
Hiyo ya ‘ wamuonyeshe’ inachekesha 🤣🤣
 
Wamuonyeshe ili iweje sasa [emoji3] mambo mengine bwana yanachekesha yes anaweza kua anaumwa lakini sio vya hivyo vinavyosemwa na ugonjwa ni Siri ya mgonjwa sio matangazo ya vifo na hata ukiwa Rais sio lazima kil mtu ajue eti unaumwa ili iweje?! Labda kaamua ku pumzika alikua anajisikia vibaya Ndio ije itangazwe?!
Wamuoneshe ili kuwapa wananchi habari za ukweli.

Unataka wananchi wadanganywe kuhusu afya ya rais wao?

Kama alitaka kuishi kwa siri, kwa nini kagombea urais?
 
Hiyo ya ‘ wamuonyeshe’ inachekesha [emoji1787][emoji1787]
Muda gani unaona unafaa rais kuwa haonekani? Ukizidi hapo utaona kuna tatizo?

Wiki mbili? Mwezi mmoja? Miezi sita? Mwaka mmoja? Miaka miwili? Miaka mitano?

Na katika muda huo, utajuaje rais yupo mzima anaendesha nchi na hajafa/ hajauawa?
 
Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki.
Mfano People Daily online hasa la leo.

Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
Pumbavu wewe! Hatua gani hizo ambazo mamlaka unataka zichukue? Hakuna hata chombo kimoja kilichoandika directly kuwa inathibitisha kuwa magufuli ana covid. Vyombo vyote wanasema kuwa kuna rumour au assumption kuwa magufuli ana covid. As long as hawajasema kuwa wana confirmed kuwa jiwe anaumwa hakuna yeyote anaeweza kufanya lelote lile. infact hata wakiandika kuwa wana hakika kabisa kuwa magufuli ana covid, serikali ya tanzania itafanya nini? kuwafungia? Just kwa sababu nchini kwenu hakuna uhuru wa kuandika usitegemee, ubabe wenu unaweza kuvuka mipaka ya nchi, fool!!!!
 
Back
Top Bottom