Baadhi ya vyombo vya habari vya nchi jirani vinaeneza uongo, vichukuliwe hatua Kali

Baadhi ya vyombo vya habari vya nchi jirani vinaeneza uongo, vichukuliwe hatua Kali

Nyerere alikuwa anapenda kutumia methali ya kizanaki zamani kuhusu kufichaficha nini sijui, hebu wazanaki watusaidie.
 
Dawa ya muongo ni ndogo.

Akisema uongo, kanusha kwa ukweli.

Akisema Magufuli yupo hospitali Nairobi, muoneshe Magufuli huyu hapa yuko Ikulu Tanzania hayupo hospitali Nairobi.

Kwa nini serikali ya Tanzania haikanushi uongo kwa kuweka ukweli wazi?
Kaka hii spana yako ni kubwa sana![emoji1][emoji1][emoji1]
2703591.jpg
 
Nimeondoka ucku kuja hapa kwenye tambuu na dengu ila bado sipo sawa & kuna swali lolote la nyongeza?
 
Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki.
Mfano People Daily online hasa la leo.

Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
Habari inasemaje MKUU?embu ilete tuione ,ili tujue Kama NI ya UZUSHI AU LAH....otherwise wewe ndio mzushi ,uchukuliwe hatua
 
Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki.
Mfano People Daily online hasa la leo.

Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
Sasa habari yenyewe hatujui ni Ipi , tutashikama Vip kwa kitu ambacho hatukijui mkuu , weka japo heading
 
Kama hizo Habari ni za uongo ukweli ni upo? Walau tuambie ukweli ni upi sisi tukatafute hizo zao za uongo
 
Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki.
Mfano People Daily online hasa la leo.

Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
Wenzio hawatetei utopolo, na hamuwezi kuwafanya lolote!
 
Mleta mada uongo kuhusu nini?
Unajua tafsiri ya neno 'uongo'
Je 'ukweli 'ni upi ktk huo 'uongo'?
 
Hii nguvu ungeitumia kuhoji institution ya kifalume na malikia huko Uingereza juu ya tuhuma nzito za ubaguzi kwa mkwe wao na mjukuu wao, ungeondoa dhana nzima ya biased opinions na double standard based narratives unazoelekea kuziunga mkono!!
Umejibu kijinga sana, nimecheka mbele za watu, aisee ningekuwa mimi ndiyo ninayekulipa leo usingepata kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wapo sahihi tu mkuu si unakumbuka walivyomtibu Lissu kwa ufanisi?sasa wewe wenzio wanapata chanjo wewe unaweka sauna unasema ndio chanjo sasa hii akili?viungo vya kukata shombo katika vitoweo ndio dawa
Hivi huna habari jwamba dawa nyingi za kimagharibi zinatokana na wana sayansi kufanya utafiti kuhusu dawa zinazo tokana na miti shamba, walizanyia analysis kuangalia composition/ingredients zizilizomo, baada ya kubaini hayo ndio waka synthesize vidonge/vimiminika vinavyo fanana fanana na dawa za miti shamba - hivyo wanao beza beza na kukejeri masuala ya miti shamba hawajui historia ya utengenezaji wa dawa.
 
Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki.
Mfano People Daily online hasa la leo.

Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
.... MAMLAKA zichukue hatua stahiki... UMESENA NI MAGAZETI YA NCHI JIRANI, SASA MIMI NAKUULIZA:-

1. JE, NI MAMLAKA GANI UNADHANI INAHUSIKA? JE, NI MAMLAKA YA NCHI YETU, AU MAMLAKA YA NCHI AMBAYO NDIMO HILO GAZETI LINACHAPISHWA?

2. NA JE, NI HATUA ZIPI HASA AMBAZO MAMLAKA HIYO YAWEZA KUZICHUKUA?
 
Wapo sahihi tu mkuu si unakumbuka walivyomtibu Lissu kwa ufanisi?sasa wewe wenzio wanapata chanjo wewe unaweka sauna unasema ndio chanjo sasa hii akili?viungo vya kukata shombo katika vitoweo ndio dawa
Kama walimtibu Kwa ufanisi Belgium alifuata nini au ndio huo uhamiaji?
 
Back
Top Bottom