Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ndo akina nani na nani hao?Serikali ya Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo akina nani na nani hao?Serikali ya Tanzania.
Whoever the big cheese is, what does it matter who the individual is?Ndo akina nani na nani hao?
magufuli ni msukuma
sabaya ni mmasai.
Ni kweli, ulitakaje labda?sasa kila mwaka mnaibiwa nyinyi tu,kwani hamjui namna ya kuiba na nyinyi!!!!
kuonewa sana nao ni ugonjwa.
Alikua Kwao na kapelekwa udosini.Kwani wamesemaje kaishavuta ? Parapanda zianze ?
LolKesho jioni Mkulungwa ataunguruma.
Ushikamane na naniMagazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki.
Mfano People Daily online hasa la leo.
Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
Ndg mbona unanifokea,Mbona unaandika kwa kupanick.Kwani wamesema nini.Kama unaogopa kusema si ungeacha kuandika humu.Wachukuliwe hatua na nani,kwa sababu gani,wamesema nini.Vyombo vya wenzetu viko huru usidhani wanazibwa mdomo na pua kama hapa kwako.Tena ukajisahau kabisa eti,wachukuliwe hatua,bila kueleza sababu hasa.Lakini pia kuna International Laws zinazowalinda.Wenzetu sio wabongo,wana uhuru wa kutoa habari.Midomo yao haijabanwa na makufuli kama hapo kwako.Subiri mahakama kuu.
Na wafuasi wa StoneUshikamane na nani
Kwani Google ndio wameleta uzi hapa?usipende kuleta taarifa ambazo utashindwa kuwajibu wanajamvi hapaNdg mbona unanifokea,
Google Gazeti la People Daily bana aaagh.
Sisi tuna huduma bora za usafiri wa anga na punde tutakuwa na huduma bora za umeme. Nagema ulanzi hapa nilipo.W
Wanajisifu kuwa wait Wana huduma Bora za matibabu kuliko nchi yeyote ukanda huu. na kwamba kwao Sasa imekua Ni Kama utalii wa kimatibabu.
Inaniuma Sana wallah
Hata kama hatukumchagua anaishi kwa kodi zetu hata aliko anatumia kodi zetu He is a public figure and not somebody's errand 👦. Where is our president. It is a rightful demand and not a request.Abbas come out.Katika Information Theory, uongo unakanushwa kwa ukweli.
Na usipokanusha uongo kwa kuweka wazi ukweli, umeuachia uongo utawale na kuchukuliwa kama ukweli.
Rais Magufuli ni rais wa nchi. Si mwali aliyewekwa ndani.
Hajaonekana hadharani wiki mbili.
Katiba ya nchi inasema wananchi wana haki ya kupewa habari za muhimu kuhusu maendeleo ya nchi yao.
Habari za uzima wa rais zinahusu mustakabali wa nchi nzima.
Rais Magufuli yuko wapi?
Kwa nini haonekani?
Ukiwa Namtumbo hakuna nchi jirani? Hata aliyeko Tunduma, Ngara, Mtwara, Namanga, Mara, Pangani, nk wote wako karibu na nchi jiraniHabari za uongo walizoandika ni zipi mkuu?maana mimi nipo namtumbo huku sijui hao nchi jirani wameansika nn &maana ulivyoandika utazani wote tupo karibu na nchi jirani
Hoja ni nini walichoandika nchi jirani ya alieko mleta mada &kujua hili nalo hadi ufundishwe na wazazi wako?Ukiwa Namtumbo hakuna nchi jirani? Hata aliyeko Tunduma, Ngara, Mtwara, Namanga, Mara, Pangani, nk wote wako karibu na nchi jirani
hata rais wa nchi sio kiranga.Kwanza kabisa, Kiranga si rais wa nchi.
Mpaka hapo ushajionesha hujui kulinganisha vinavyofanana kulinganishwa.