Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Tukumbuke kuwa Muhamad hakuwa akijua kusoma wala kuandika. Alikuwa maamuma katika mambo hayo. But he was a very clever man ukimsoma utatambua hilo. Na hii ilimsaidia sana kuweza jipatia wafuasi hata katika safari mbalimbali ambazo alifanya akienda kupora na kuchukua mateka.
Alikuwa na jeshi ambalo lilimwamini sana. Unakumbuka pale wapiganaji wenzie walimuuliza kuwa sasa wanagawa vipi zile mali ambazo waliteka. Akasema imeshuka aya inasema MALI WALIZOTEKA NI ZA MWENYEZI MUNGU NA MTUME WAKE.
Hawa ndo baadhi ya waandishi wa Quran baada ya kifo cha Muhamad(Mungu aiweke roho yake inapostahili)
1. Ali ibn Abī Ṭālib (the cousin of the Prophet and his son-in-law)
2. Ubay ibn Ka‘b
3. Zayd ibn Thābit